Kuna kula na kuliwa joh.. PambanaSibet tena
Mkuu cjawai shinda chochote toka nianze bet naliwa dailyKuna kula na kuliwa joh.. Pambana
Usiwaze.Kama una chini ya three months you're still a beginner. Jaribu kuboresha na kujifunza mbinu bora za kubeti.Hakuna ambaye hajawahi kuliwa humu.Betting is all about luck, skills and you should be daring.Mkuu cjawai shinda chochote toka nianze bet naliwa daily
Kama mmRoma anaondoka na elfu 20 yangu...
Najuta kumpa hata double chance...
Jamaa ajui kuwa kuna wakongwe yeye kaja juz tu ashakata tamaaKuna kula na kuliwa joh.. Pambana
Hahaha pole mkuu ila ndo biashara ilivyo mi chelshit kaniua pia daaaChelsea wameniua dah sijui nitaendaje kibaruani kesho
Hahah, huu mchezo hauhitaji hasira kabisa.Jamaa ajui kuwa kuna wakongwe yeye kaja juz tu ashakata tamaa
umemsahau uefa alitoka na kona ngapi?Eti psg anakosa kona kipindi kizima cha pili KHAAAA... Leo mhindi kaniweza
Ahahaaa mwanangu uliweka nauli ya hiace kesho niniChelsea wameniua dah sijui nitaendaje kibaruani kesho
Inuka tusonge mbele kamanda. Mapambano yaendelee.Sibet tena
KwannSibet tena
Ndo ivyo usiwe na hasiraRoma anaondoka na elfu 20 yangu...
Najuta kumpa hata double chance...
BOOOOOOOMHapa mrussia hachomokiView attachment 875541