[emoji16][emoji16]jamaa ajui formula uyoAhahaaa mwanangu uliweka nauli ya hiace kesho nini
******BET WOOON****In play
Italy.
Bologna vs Roma
Race to 9 corners- Roma
Odds: 2.01
Wale tuliomwamini AZAM acha tule balimi za kutoshaBaada ya Chelsea kuniumiza hatimae mswahili mwenzangu Azam kanifuta machozi... Zimwi likujualo halikuli likakwisha.View attachment 875570
Dah bas kesho ntatafuta kimtaji nianze tena hii biasharaUsiwaze.Kama una chini ya three months you're still a beginner. Jaribu kuboresha na kujifunza mbinu bora za kubeti.Hakuna ambaye hajawahi kuliwa humu.Betting is all about luck, skills and you should be daring.
Eh man mi mgeni kwny hii field dahJamaa ajui kuwa kuna wakongwe yeye kaja juz tu ashakata tamaa
Ila leo nilihisi tu maana nlibet vibayaHahaha pole mkuu ila ndo biashara ilivyo mi chelshit kaniua pia daaa
Nifundshe mkuu[emoji16][emoji16]jamaa ajui formula uyo
Haha mi mwanachuoo asee kesho cjui naendaje fieldAhahaaa mwanangu uliweka nauli ya hiace kesho nini
Nimekua nikipiga desh mchana naeka kiela changu kubetia ila natoka mkavuuKwann
Mkuu huu mchezo hauna formula wala kanuni kinachobaki ni umakini na bahati tu coz kuna siku inatokea tu lazima ukubali kuwa ilikuwa lazima uliwe tu hata ingekuwaje hasa pale timu ambazo ulitokea kuziamini 100%[emoji16][emoji16]jamaa ajui formula uyo
Tena kubwaaaaKazi tunayo
Ndo uwe mgumu sasa sio unapigwa mara mbili tu unalia lia....utakufa kwa pressureEh man mi mgeni kwny hii field dah
Cjamdhiaki mkuu namwambia ajaribu kuwa mgumu nakuzoea hali laa sivyo ataumia sanaMkuu huu mchezo hauna formula wala kanuni kinachobaki ni umakini na bahati tu coz kuna siku inatokea tu lazima ukubali kuwa ilikuwa lazima uliwe tu hata ingekuwaje hasa pale timu ambazo ulitokea kuziamini 100%
Hivyo sio vizuri kumdhihaki mwenzio eti hajui formula kisa maybe umemla au kwa namna yoyote.
Humu wengine tunapategemea kwa faraja maana unapokuwa umeliwa then ukaja humu unapokuta wenzio nao wanalalamika atleast unagain relief ya moyo.
Unachambua mech lakin au una bet tuNimekua nikipiga desh mchana naeka kiela changu kubetia ila natoka mkavuu
Week ya tatu hii mfululizoNdo uwe mgumu sasa sio unapigwa mara mbili tu unalia lia....utakufa kwa pressure