Kwa kweli kuna haja ya kuweka mikeka minne kwa namna tofauti kwenye hiyo jackpot
Leo sijaweka rangi mkuu sijaingia kwenye edit kuweka makekeNasubir na zile unazowekaga rangi.. Huwa zinakuwa mbili tu.. Sijui umezisoma hzo..?
Hiyo point ya team iliyopoteza game tano na nyingine kushinda game 5 straight ndo kilichotokea kwa genk Jana mpinzani wake alikuwa hajashinda game 6 straight!hata juzi Kati Metz naye
Pamoja mkuu, usisahau kutupia code. Yaan huu ni zaidi ya ulevi hahaaHaina tabu mkuu nitatupia mkeka nikipata muda maana bado sijauandaa mpaka sasa.Leo natafuta odds 5 tu sitaki nyingi.
Aaaahhhhhh Jamani eeeeeeeee!!! sungusungu huku kamfumua mrusi njooni mumuelekeze kwann pesa yake haijafika M-PESA .Hakuna kujinyonga tena hapa.WAKUU NIME WITHDRAW PESA 1XBET HAIJAJA TANGU JANA VP NA SOLVE VP ILI
Daah kma mimiSijui nina mkosi gani na 1bet kila nikiweka ela aiongezeki zaidi ya kuisha...nitakula kisha nitairudisha yote...yani ela aiongezeki kabisa sijui kwa nn...kila siku naishia kuweka mtaji....aisee ii kaz ngumu sana
Haha tulia ww nafanya trial yakuanza kuitumia 1xbet nmeambiwa iko vzuri game za live so nlifanya Ku deposit naku withdraw nione ikoje lkn ndo nakutana na majanga ayoAaaahhhhhh Jamani eeeeeeeee!!! sungusungu huku kamfumua mrusi njooni mumuelekeze kwann pesa yake haijafika M-PESA .Hakuna kujinyonga tena hapa.
Tatizo dogo sana hiloWAKUU NIME WITHDRAW PESA 1XBET HAIJAJA TANGU JANA VP NA SOLVE VP ILI
mkuu sidhani kama inawezekana kuwithdraw kabla hujabet.Haha tulia ww nafanya trial yakuanza kuitumia 1xbet nmeambiwa iko vzuri game za live so nlifanya Ku deposit naku withdraw nione ikoje lkn ndo nakutana na majanga ayo
Ahaa.. Kumbe, sasa hii itakuwa inapatikana kwenye Handicap au.. Wapi. Ktk 1xbet
Fresh mkuu sema aiko ewani nowTatizo dogo sana hilo
Wapigie Mlipa 0715222132
mkuu sidhani kama inawezekana kuwithdraw kabla hujabet.
[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu sidhani kama inawezekana kuwithdraw kabla hujabet.
Kweli labda kama kuna nyingine wadau watakusaveFresh mkuu sema aiko ewani now
Sure man maana uu sasa mkosi ata kutoka ka ela nako iwe tatzoKweli labda kama kuna nyingine wadau watakusave
Itatoka tu hela yako ishawahi watokea wengi huku na hela wakaipataSure man maana uu sasa mkosi ata kutoka ka ela nako iwe tatzo
After mawasiliano au yenyewe huwa inarudiItatoka tu hela yako ishawahi watokea wengi huku na hela wakaipata
Baada ya kuwapigia utawatajia namba ya simu na kiasi ulichowithdraw hela yako itaingiaAfter mawasiliano au yenyewe huwa inarudi