Sema muda uliotoa ndo shida mie nakumbuka ilikuwa saa tano kasoro usiku.II KAMPUNI YA XBET C SALAMA AISEE SASA MTU UKIWA NA MILIONI YAKO NDOIPOTEE KIZEMBE IV CWEZ ITUMIA TENA KAMPUNI KAMA II BORA PREMIER AU PRINCES NAWEZA WAPATA
Mmh au kuna tatzo ukitoa ucku sana au shida nn ingine na tatzo akuna MTU wakukusaidiaSema muda uliotoa ndo shida mie nakumbuka ilikuwa saa tano kasoro usiku.
Hawa jamaa wanacho jivunia ni option na mech zipo karibu zoote ila kama ni odd hata premier, princess na PM wanatoa odd nzuri tuII KAMPUNI YA XBET C SALAMA AISEE SASA MTU UKIWA NA MILIONI YAKO NDOIPOTEE KIZEMBE IV CWEZ ITUMIA TENA KAMPUNI KAMA II BORA PREMIER AU PRINCES NAWEZA WAPATA
Dah! Iliniuma nami nikapasusa siku ya 3 nikaweka pesa niliwapiga nikatoa 30000 machungu yakaisha,ingawa ilo tukio bado lipo hivyo endapo siku nikirudi tena huko muda wa kutoa naepuka usiku.Nimeongea na jamaa anasema subili itakuja amna anacho shughulikia
II KAMPUNI YA XBET C SALAMA AISEE SASA MTU UKIWA NA MILIONI YAKO NDOIPOTEE KIZEMBE IV CWEZ ITUMIA TENA KAMPUNI KAMA II BORA PREMIER AU PRINCES NAWEZA WAPATA
Muda huo unaendana sana na mie pia nadhani watumishi wanakuwa wachache sio kama muda wa kutwaMmh au kuna tatzo ukitoa ucku sana au shida nn ingine na tatzo akuna MTU wakukusaidia
Hata mm kilinipeleka option specially live games lkn nishaona hasara unaingiaHawa jamaa wanacho jivunia ni option na mech zipo karibu zoote ila kama ni odd hata premier, princess na PM wanatoa odd nzuri tu
Dah! Una upepo mzuri kweli.Mie shida ilinitokea muda huo ndo ushuhuda wangu huo.Sio kweli mkuu! Mbona miamala inasomeka kama kawa View attachment 887406
Mbna game hazjaanza
Ngoja leo niende princess uku 1 wananipa za uso sanaMimi zamani nilikuwa sportpesa, baada ya vichapo kutawala nikahamia kwa mrusi.
Huku nikarudisha hasara yangu. Sasa nikasema huyu nimemwonea, ngoja nirudi kule kule Sportpesa nikambandue yeye kama yeye, aisee nilichezea kipigo mfululizo hadi nikasema basi basi, nimekusamehe deni langu bwana!
Siku hizi nipo kwa mrusi na princes coz naona huku siliwi ovyo.

Naona mambo yanaenda sawa
Mkuu unaamaanisha nin HT/FT 1/2
kiasiNaona mambo yanaenda sawa
you did not post it herewon even CS
View attachment 887368