Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu issac77 unataka kusema huyu jamaa mwenye namba 0758 460813 sio mfanyakazi wa MLIPA? Huyu atakua anajua hela zetu zilipo Manake ndio pekee anayeshughulikia Mihamala yetu.

Naomba uniambie ofisi zao zipo Mikocheni Ipi Niende..Tukishindwana nipitie Oysterbay Polisi tukamaliziane huko.
NAOMBA USHIRIKIANO WENU JAMANI.
Hiyo ni namba ya jamaa tu wa hapo mlipa, siyo namba ya ofisi. Nakupa hii kesho asbuhi piga mweleze A-Z tatizo lako naamini litashughulikiwa kwa wakati, u'll thank me later 022 270 1845

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Blessed Jr tushirikiane hela yako Irudi..hata kama ni 1,500.Huu mchezo unaonekana Umeota mizizi huko MLIPA.
Nimetuma pesa tangu tarehe 23/09 mwaka huu, kila siku tigo wanasema itarudi ndani ya saa 24 ila mpaka leo kimya. Huyu jamaa nimemcheki wala hajibu meseji yangu, mpaka nikaona nifute tu namba yake maana hana msaada
 
Namba hiyo umeona kwanini usipige? Sijasema kwamba siyo mfanyakazi wa m.lipa but nilisema hiyo namba ya voda niya mtu binafsi, so chagua mwenyewe kutumia ya mtu binafsi au utumie ya ofsi.
 
Soma comments za niliowa-quote hapo juu.Jamaa hata akipokea simu Mpaka usumbuane nae sana na wengine hawajarudishiwa hela zao..Mimi ni Mmojawapo.

Mimi kabla sijakutana na tatizo nilikua nawakubali sana MLIPA Ila kwa sasa wanazingua.
Namba hiyo umeona kwanini usipige? Sijasema kwamba siyo mfanyakazi wa m.lipa but nilisema hiyo namba ya voda niya mtu binafsi, so chagua mwenyewe kutumia ya mtu binafsi au utumie ya ofsi.
 
Na mimi pia tarehe 15/8 niliweka pesa 1xbet aijafika mpaka leo
Wahanga wa Huu mchezo wa MLIPA ni Wengi sana..wengine mpaka wameamua kupotezea hela zao.
Tutafanya utaratibu mkuu Nipate ushahidi wa muhamala wako wakaturudishie.
 


Kiongozi kuna tija kabisa ya wazo lako kufanyiwa kazi kwa haraka kabisa na Mimi binafsi nimekoma kabisa kuitumia kampuni hiyo ambayo ilitokea kuiamini kwa option zao nzuri sana lakini sasa 1XBET niliokuwa nawaamini wamekuwa hovyo kabisa,mawazo yako naungana nayo kama ikiwezekana wadau waweke wazi pesa zao zilizopotelea hewani na tuipasie sauti!
 
Sawa kabisa mkuu...Nikipata Ushahidi nikiunganisha na wangu..Wiki hii Lazima Niende Ofisini Kwao tupate suluhisho la Hela zetu pamoja na way Foward.

Tukishindwana naamini vipo vyombo husika vitatusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…