Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

WALE WA 1XBET TUMIENI NJIA ZA KIBENKI ENDAPO M-LIPA WANAREKEBISHA MFUMO
 
Shida inakuwa wapi
 
Mm nimetoa Mara kadhaa ipo vizuri sema msg ya mPesa ndo shida ila hela inaingia kimya kimya
Sasa naona wengine wanalalamika kinoma huku njia ni nyingi kweli kupata au kutuma pesa kwenda 1xbet
 
Minnesota fc vs Colorado Rapids.
Tip: 1 odd 1.49
Ottawa fury vs Charleston battery
Tip:. 1X. odd 1.44
Tunisia vs Niger
Tip:. 1. odd. 1.19
CD Numancia vs R Zaragoza
Tip:. 1X. odd. 1.34

Total odds: 3.42
 
Wakuu naomba steps kujua jinsi ya kubadili namba ya simu ya kufanyia mihamala 1xbet
 
Mkongwe mwenzangu, wenye tatizo ni MLIPA hususani kukiwa na network error Au Kukiwa na makosa yeyote wakati wa kufanya mihamala

Utapata tabu sana kupata hela yako Au Kuhudumiwa..Hapo ndipo watu wanalalamika wengine wanasamehe hela zao.

Sasa Nikiwa mmojawapo wa waathirika nataka Niende ofisini Kwao warudishe hela Mannually
Shida inakuwa wapi
 
Nipo kwenye majaribio ya 1xbet wadau,tatizo nnalopata iplay nawekewa timu chache sana,halafu nawezaje kupata mechi zote za leo?
 
Hiz kampuni za kubet hazifanyi Fair bhana kweny ugawaji wa odd. Asaaa Armenia kumbe hii mechi kwake ni ngumu hlf anapewa 1.08 odd na hakuna chcht had saiv
 
wakuuu hivi nikiweka mkeka kwa kutumia hela ya bonus na mkeka ukatiki ilihali nimefuata vigezo vyote vya hzo bonus za 1xbet je naweza kuwithdraw mpunga nilioshinda?
 
Haya mambo akilalamika mwingine unaweza kuona kama hawajui or wanakosea.
Siku ukikutana na usumbufu ndio utakiri kuwa kuna mapungufu.

Nina muda mrefu ninatumia 1xbet Ila siku nimeona hawa MLIPA wameanza kushindwa kuhudumia kampuni kubwa kama 1xbet.
Sasa naona wengine wanalalamika kinoma huku njia ni nyingi kweli kupata au kutuma pesa kwenda 1xbet
 
Mkuu unajua kusoma Kiingereza? Kama unajua angalia kwemye hivyo vigezo utakutana na jibu lako.
wakuuu hivi nikiweka mkeka kwa kutumia hela ya bonus na mkeka ukatiki ilihali nimefuata vigezo vyote vya hzo bonus za 1xbet je naweza kuwithdraw mpunga nilioshinda?
 
Haya mambo akilalamika mwingine unaweza kuona kama hawajui or wanakosea.
Siku ukikutana na usumbufu ndio utakiri kuwa kuna mapungufu.

Nina muda mrefu ninatumia 1xbet Ila siku nimeona hawa MLIPA wameanza kushindwa kuhudumia kampuni kubwa kama 1xbet.
Nami pia kuna pesa ilikwama nikachat na jamaa whatsapp hata masaa 24 hayakuisha pesa ikaingia hivyo kila mmoja na hali yake lakini nashauri kutumia njia za kibenk yani hakuna cha beyonic wala nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…