Moroco atatoa over 3.5 kweli
Mi mwenyewe naona German anashinda, ana odd 2
Maelezo ya M-Pesa mastercard wao wamejikita kwenye kulipia huduma za mtandaoni.ebu jaribu ukiipata pesa leta mrejesho kuna wadau wengine watashawishika kuwakimbia wazee wa Beyonic
Duuu mkeka ushaanza kufuka moshiDk ya 30 germany kashafungwa moja
Unachukua games NNE kila game ilwe na odd hiyoNimejaribu mara kadhaa kwa odds above 1.4 lakini inagoma.Wanasema the type of bet does not correspond to the requirement of the bonus offer.
Natumia mtandao wa TIGO PESA sijawahi patwa na tatzo la kudeposit wala kuwithdraw huu ni mwaka wa pili sasa toka nime anza itumia 1xbetkitu kingine cha kujiuliza wadau ni kuhusu mitandao iliyopo yaan Airtel, tigo na Vodacom. Na malalamiko mengi yapo vodacom je? kwa mnaotumia mitandao mingine inakuaje kuhusu kutoa pesa na kuingiza kwenye account ya 1xbet...
pendekezo naona tungejipa comment kuhusiana na hili je? tutumie Airtel or Tigo or Vodacom nawasilisha kwa ambao pia mnatumia mitandao mingine mtupe majibu kutusaidia maana Mlipa naona wanakula pesa za watu bila jasho toeni mirejesho wakubwa heshima kwenu!!!
View attachment 897152
Mkuu fanya kushea madude ya night kali tutembelee nyota
Kwan hakuna aliyempa dcNamfuata MOROCCO
0-0Morocco katoboa usiku sana
Niliweka pesa kwenye mastercard tangu tar 12/9 ila mpaka leo iligoma kwenda 1bet na mpaka leo awajashughulikia tatizo na kwenye mastercad aipo...ukiniuliza ilipoenda me mwenyew sijuiNitaleta Mrejesho