Kwa sasa nimepumzika maana toka asubuhi hakuna loss ni mwendo wa paid..
Ngoja niache kwanza maana ngoma ikivuma sana inapasuka.
Nilitia 5000 nikapiga hadi 40 nikachomoa nikaacha 5000 sasa hivi haipo.Kweli mkuu kule ni sehem ya kudownload pesa tu! Na si vinginevyo[emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilitia 5000 nikapiga hadi 40 nikachomoa nikaacha 5000 sasa hivi haipo.
Ngoja nikanunue kuku kwanza.
Nilitia 5000 nikapiga hadi 40 nikachomoa nikaacha 5000 sasa hivi haipo.
Ngoja nikanunue kuku kwanza.
Sawa kabisa mkuu...Nikipata Ushahidi nikiunganisha na wangu..Wiki hii Lazima Niende Ofisini Kwao tupate suluhisho la Hela zetu pamoja na way Foward.
Pamoja sana Kiongozi wangu!
Tukishindwana naamini vipo vyombo husika vitatusaidia.
Wadau mwenye kujua app inayoonyesha mpira tofauti na mobdro
[emoji3][emoji3][emoji3] Eti pumbu mbili, mimi sasa hivi napiga na kuchomoa.Umefanya jambo la msingi maana me juzi niliweka buku 5 nikaamka na 50k sikuitoa jana mpaka naenda kulala nikamalizia elfu 5 leo mpaka naamka hasubuhi nimebakiwa na pumbu zangu mbili tu, dah kubet ni biashara inayohitaj uvumilivu kuliko zote duniani.
Na me nitakuwa nafanya hivyo aisee maana kwenye hiyo 50k ningechomoa hata 40k hapo leo wikend mdudu angeliwa vizur kabisa lakin dah kinyonge sana naangalia tu wadau wanapiga mishindo.[emoji3][emoji3][emoji3] Eti pumbu mbili, mimi sasa hivi napiga na kuchomoa.
Na me nitakuwa nafanya hivyo aisee maana kwenye hiyo 50k ningechomoa hata 40k hapo leo wikend mdudu angeliwa vizur kabisa lakin dah kinyonge sana naangalia tu wadau wanapiga mishindo.
Unaendeleaje ?? Changamka !!P didy yupo wapi jaman
Leo sijabet akili haipo sawaUnaendeleaje ?? Changamka !!
Sawa kabisa mkuu...Nikipata Ushahidi nikiunganisha na wangu..Wiki hii Lazima Niende Ofisini Kwao tupate suluhisho la Hela zetu pamoja na way Foward.
Tukishindwana naamini vipo vyombo husika vitatusaidia.
AlgeriaWakuu hao biskra na usm blida wapo nchi gani? View attachment 896782
Vp huko mkuuKuna mtu alimpa Malta first half hata kwa 500 tu[emoji22][emoji22]
AmeshindaVp huko mkuu
Wadau mwenye kujua app inayoonyesha mpira tofauti na mobdro[/QUOTE
TVTAP, nayo haipo play store itafute google