Eliaskante
Senior Member
- Jun 4, 2017
- 136
- 229
Ona huo mkeka nilimis mechi moja tu lakini, niliambulia patupuView attachment 922320Ety wadau.. Nasikia kuna kampuni Fulani inaitwa PLAYMASTER BET.. Hii ukiweka mkeka then timu 1 ikiharibu unarudishiwa pesa yako.. Ila zikilose zaidi ya 1 basi umeliwa..
So MTU yeyote anayetumia hii company atupe maujuzi hapa
Brother hiv hiyo ni kampuni gani?Good Evening [emoji550] Won[emoji736][emoji736] Loading....... code L8426
1XBetBrother hiv hiyo ni kampuni gani?
Hapana,mi mwenyewe natumia 1xbet lakn hii imekaa kinamna fulan1XBet
mkuu unavyofanya siyo fair kabisa. huwa unapost ukiwa umeshakula tu wala huweki kabla mechi haijaisha ili nasi tumpige mrusi...
Brother hiv hiyo ni kampuni gani?
Brother hiv hiyo ni kampuni gani?
OK ndo maana manake nimeweka hizo code 8CA26, kwenye 1xbet ya Android zimegoma,Hii Ni 1xbet Natumia Kwenye I Phone [emoji336] Sio Android
Game ishakwisha hyoOK ndo maana manake nimeweka hizo code 8CA26, kwenye 1xbet ya Android zimegoma,
Kwani game gani hiyo Code
Hebu I screenshot kisha itupie tuione
OK nilidhani game itaanza usiku SAA 2Game ishakwisha hyo
OK ndo maana manake nimeweka hizo code 8CA26, kwenye 1xbet ya Android zimegoma,
Kwani game gani hiyo Code
Hebu I screenshot kisha itupie tuione
Mungu wangu,Code Zinaingiliana Nazani Umechelewa Kuweka Napia umekosa Hela Bet Won[emoji736][emoji736] Loading.....
Asante sana edger....
Nimeshadownload pesa.
[emoji3] [emoji3]tuelekezwe namna ya kuweka hizo code kwenye 1xbet...ndo tumeanza tu kutia mkeka huko hatujui chochote juu ya 1xbet
Edga naomba nielekeze jinsi ya kutumia hizo code mm sijuiCongrats [emoji324][emoji322] Kwako Zingne Znakuja Soon....