Kweli aiseeBet kukiwa na fixtures za kueleweka! Najua kwa nn unachezea vichapo in and out!
For sure mkuu, hamna namna nyingine ila naona baadhi wanakerwa na ile green labda tuanze kupost nyeusi. TehtehtehMkuu ungefunga tuu hii chapter! Ukipost tip hapa 1 au 2 ndo watashughulikia the rest wanaangalia tu mpaka wasikie woooon (wastage of time & resource)! Kosa usipost beforehand then ukaleta winning ticket [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watao lalamika ni wengi kuliko kuliko ambao wangefuata kama ungepost beforehand!
Upepo vipi Leo?, tehtehteh.Hahahaha fresh sana Mzee Baba!
Na bahati mbaya hakuna nyeusi! Ni mwendo wa greeen tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]For sure mkuu, hamna namna nyingine ila naona baadhi wanakerwa na ile green labda tuanze kupost nyeusi. Tehtehteh
Hakuna fixture za maana nangoja usiku! Sijatakatisha hata senti ya mrusi leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Upepo vipi Leo?, tehtehteh.
Mkuu, inabidi utufunze namna ya kula sasa..Maana hayo majeshi hatuyajui. Ninaomba unielekeze njia nzuri ya kumla mrusi, options nzuri za kula na tubeti vipi, michezo gani??Hapa hakuna mechi kuisha wala nini hapa tunakula within minutes, wewe kama unasubiri mkeka wa masaa mawili kabla endelea kusubiri. Wakati mwingine unaweka na goli linaingia, hapa ni kumvizia mrusi tu. Pitia wadau humu na wewe ujifunze. Halafu ningekuwa siko fair ningezuia kampuni za kubet ili nibet peke yangu.Tehtehteh
USHAURI; Wadau humu ndani tusipende kulalamika sana. Wewe pitia mikeka inayopostiwa humu uone wadau wanashindaje na wewe ujifunze, acha kulalamika.
unabet timu 5 moja ikipotea unapewa free bet ukizid 6 kuendelea ukishindwa moja unazidisha mara 3 hela uliyoweka wanakupa vigezo odds lazima ziwe 1.35 kuendeleaEty wadau.. Nasikia kuna kampuni Fulani inaitwa PLAYMASTER BET.. Hii ukiweka mkeka then timu 1 ikiharibu unarudishiwa pesa yako.. Ila zikilose zaidi ya 1 basi umeliwa..
So MTU yeyote anayetumia hii company atupe maujuzi hapa
Imenisaidia sana na Mimi, yani kwa siku naweza kumpukutisha kanji zaidi ya Mara 15 ila akanila Mara 3 tutatizo le2 wabongo tunapenda kutafuniwa
¤mimi hata nione kuna mtu kapost sifuati huwa natumia ability yangu sio mpaka nimsubir furani apost ndio nibet Never
Dah! nawashukuru wana jukwaa kwa kunifumbua macho ili nihamie 1xbet maana nilipokuwa M-BET, BIKOSPORT, SPORTPESA, MKEKABET ¤
nimeliwa sana!
lakini sasa nipo 1xbet ni mwendo wa $ WON
Gal spot nao ukikosa mechi moja unarudishia pesa yakoEty wadau.. Nasikia kuna kampuni Fulani inaitwa PLAYMASTER BET.. Hii ukiweka mkeka then timu 1 ikiharibu unarudishiwa pesa yako.. Ila zikilose zaidi ya 1 basi umeliwa..
So MTU yeyote anayetumia hii company atupe maujuzi hapa
Mzuriiiiiiiii tu, ni mwendo wa green tuUpepo vipi Leo?, tehtehteh.
AiseeNa bahati mbaya hakuna nyeusi! Ni mwendo wa greeen tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NzurrŕrAisee, tuna test mitambo.View attachment 922523
nakuhakikishia tu mkuu, mimi siwezi kupuuza tips hata siku moja...nita deal nazo kwaiyo tumeni izo tips banaaMkuu ungefunga tuu hii chapter! Ukipost tip hapa 1 au 2 ndo watashughulikia the rest wanaangalia tu mpaka wasikie woooon (wastage of time & resource)! Kosa usipost beforehand then ukaleta winning ticket [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watao lalamika ni wengi kuliko kuliko ambao wangefuata kama ungepost beforehand!
Uwe unapuuza mkuu zingine huwa ni lost ticket ab initio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuhakikishia tu mkuu, mimi siwezi kupuuza tips hata siku moja...nita deal nazo kwaiyo tumeni izo tips banaa
Hahaaaa achukue kwa tahadhari.Uwe unapuuza mkuu zingine huwa ni lost ticket ab initio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]