Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ety wadau.. Nasikia kuna kampuni Fulani inaitwa PLAYMASTER BET.. Hii ukiweka mkeka then timu 1 ikiharibu unarudishiwa pesa yako.. Ila zikilose zaidi ya 1 basi umeliwa..
So MTU yeyote anayetumia hii company atupe maujuzi hapa
Nilicho experince mimi ni kuwa timu moja ikichana unapewa free bet ila hiyo ya kurudishiwa pesa haijawah nitokea
 
mkuu unavyofanya siyo fair kabisa. huwa unapost ukiwa umeshakula tu wala huweki kabla mechi haijaisha ili nasi tumpige mrusi...

lengo letu hapa siyo kuleta results za mikeka tu, bali na kutoa tips
Acha mambo ya ajabu!! Hili jambo lilishaeleweshwa mda tuu humu jamvini!! Ila we inaonekana hujaelewaa!! Saiv green zimezid humu coz kuna somo lishapita mda. Huyo unayemsema mbn kupost ana post sema ww hau-mark na ndy shida inapoanzia.
 
Wakuu basketball in play futeni muda huu na Cheza kwa quarter siyo ful time zinatoa kupost hapa naona zinachelewa maana nacheza kwa quarter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…