Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Pamoja Mkuu, na Mimi niliileta mapema kwasababu nilijua pesa hiyo.Hahahaaa hii leo niliiwai thanks mkuu
Hawezi kupindua kwa yale mazee ya Turin tena yako kwao.. Mwaka huu kipaombele chao ni UEFA ndio maana wakanunua hadi CR7.. Sasa Man leo hakipata hata draw ana Mungu.leo nampa man u
Usihofu, huwa zinatoka baada ya muda zinarudi. Ni technical failure tu.Mkuu hebu angalia airtel money,voda na tigo kama zipo kwako bado
Maana nataka kudeposit sion mobile payments
Tehtehteh mkuu, anataka yeye ale tu akiliwa yeye nongwa. HahaaItakuwa wabongo MNA mla sana mshaifanya ajira
Void ntafutie over1 yauhakika ntupie mzgo nna shida na pesa ivTehtehteh mkuu, anataka yeye ale tu akiliwa yeye nongwa. Hahaa
Kuna siku niliuliza humu... hivi Hizi kampuni tunazocheza ambazo hazijasajiliwa Tanzania kama hii 1xbet (sijui kama kwa sasa wamefungua ofisi Tanzania) wakaaamua tu kutokutoa huduma Tanzania na wakaaamua tu kufuta accounts originated Tanzania kuna lolote la kuwafanya kama kuwashtaki... !!?? ....Kwa hyo itakuwaje khs kuweka au kutoa?
Kwanza nimejaribu sportpesa ila zinakera tu hizo KodiTehtehteh mkuu, anataka yeye ale tu akiliwa yeye nongwa. Hahaa
Zimeshashuka sana mkuu hawa meridian ukiweka hela haiingii hapo hapo hadi kusubiri kidogo ndo wamenilostishaJamani huyo Fukuoka hela hizo chezeni hata handcap
Daah mwenyewe nimeamua kuweka sportpesa pesa angalia unavyoweza Cheza hela hizo gemu ya mwisho alimpiga mtu tofauti ya vikapu 47 hata huyu anaweza chezea vingi maana wote hao huwa wanampiga siku zote leo watakuwa wamepigwa bumbuwazi maiti imefufuka ndo happy happy nae anapochukulia ushindiZimeshashuka sana mkuu hawa meridian ukiweka hela haiingii hapo hapo hadi kusubiri kidogo ndo wamenilostisha
Hatuna lolote la kuwafanya, lakini sio za nje tu hata za ndani zinaweza kufunga huduma na tusiwafanye chochote. Hata mabank ya ndani si unasikia yanafungwa na watu wanapewa 1.5m hata kama ulikuwa na milioni 100 na unakuwa hauna chochote cha kuwafanya kwasababu wana majibu mepesi kuwa kampuni imeshindwa kujiendesha.Kuna siku niliuliza humu... hivi Hizi kampuni tunazocheza ambazo hazijasajiliwa Tanzania kama hii 1xbet (sijui kama kwa sasa wamefungua ofisi Tanzania) wakaaamua tu kutokutoa huduma Tanzania na wakaaamua tu kufuta accounts originated Tanzania kuna lolote la kuwafanya kama kuwashtaki... !!?? ....
Kwel itakuwa zmetoka ata mm czion1xbet Kutoa pesa unatoa Akini ukitoka kudepisit Option za mobile hazpo sijuhi zmetoka ztalud au raha
Wanakata mpaka unasikia kizunguzungu.Kwanza nimejaribu sportpesa ila zinakera tu hizo Kodi
Mbona unabet gemu nyingi ivo..
Mkuu naamini kampuni Inajiendesha Kwa sheria na kanuni..haiwezi kufunga kienyeji huduma.Kuna siku niliuliza humu... hivi Hizi kampuni tunazocheza ambazo hazijasajiliwa Tanzania kama hii 1xbet (sijui kama kwa sasa wamefungua ofisi Tanzania) wakaaamua tu kutokutoa huduma Tanzania na wakaaamua tu kufuta accounts originated Tanzania kuna lolote la kuwafanya kama kuwashtaki... !!?? ....