Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu mbali mbali mm naona haina haja ya kujaa mtu anapokuwa anaulza maswal ata kama linarudiwa kila cku kuna wengne wagen jaman
 
Hakuna fact yyt hapo; hakuna swali ambalo halijajibiwa na member wa humu! Shida we ni mvivu kufungua thread zilizopita kucheki!! Unayo smartphone unashindwa kufanya internet searching usome!! Ok unaeza usi-search ila lishajibiwa!! Pitia msg mojamoja usome upate unachotafuta
Fact mkuu
 
Kuna mtu tumempotezaa wa muhimu saanaa leo kisa maswali ya kijingaaa
 
Kuna kipindi yaaanii ilikuwa kila ukiingia
Wakuu mbali mbali mm naona haina haja ya kujaa mtu anapokuwa anaulza maswal ata kama linarudiwa kila cku kuna wengne wagen jaman
Jamani kila kampuni ina terms and conditions.. Ukienda hapo Utakutana na maelekezo ya kila option. Kama njia hiyo imekushinda Ingia google andika hiyo option Halafu search.. daaaah lakini kugoogle video za amber rutty wanaweza lakini kugoogle option itakayompa hela hawezi daaah Tanzania bwana
 
Hahahah mkuu nitabirie direct hata match nne nipo zangu sport pesa hapa
Nimeshindwa kabisa... Nasubiri wakirudi nibet tu kikapu usiku mnene.

Nilitaka kumpa Valencia over 2 na imelipa ila 1xbet wamezingua.

Basi mpe man u over 2.5 first half
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…