Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Acha waendelee kupeana mipasho wengine tuendlee kutandika mikeka na kupeana maujanja maana wanaume huwa tunaongea kidogo yanaisha kukwazana kupo sana wanakwazana wanandoa ndani sembuse sisi humu ila nalo litapita na hali itakuwa shwari.
Wazee wa kubet no damudamu tuache kucharurana
 
Ndonger, niko 50% kwa 50% kuhusu maoni yako.But let them do their homework if they want to master betting.Bila kusumbua akili yako kila siku utakuwa mzee wa maswali, bila kupunwa na kanjibhai hutojua kubet.Imekuwa bahati walau kuna platform siku hizi ya kutupatia tips za kubet kama hii JF.Sie tuloanza zamani kanjibhai ametupiga haswa,sio kwamba siku hizi hatupigwi la hasha! tunapigwa lakini sio sana kama zama zile.Inshort siku hizi mara nyingi tunampa kichapo yeye out of 10 slip nina uhakika wa kuwin 6-7slips.Itapobidi tutawajibu, but let them learn the hardway hamna namna.
 
wadau tuache kurumbana au ndo hasira za mikeka unakamata mnyonge kwa mfano mm sipend void ab anavyotuma mikeka ya win tu niliongea lkn anakaza anatuma nkaona niachane atume atakavyo kwan bundle c lake na jamii forum kajiunga mwenyewe kwa hiyo mtu kipost kitu kma swal ukiona utajibu vibaya acha tu kwan sio lazima kujibu nadhan wote 18+ mambo madogo kutumia tu hekima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…