Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu wewe unashangaa hii, watu wanaweka milioni wapate elfu hamsini.
Yanii mkuu niwe na uwezo wa kufanya mishe zangu nikaingiza or nikapata milion 1 then nirisk milion 1 kwa kupata elfu 50? Mkuu si bora niendeleze mishe zangu nikaingiza tu hio 50..huyu mtu aliyebet ivyo alikuwa ni mshamba wa neno WON ktk mikeka yake ila mwana betting awezi kubet ivyo mybe nitie milion 1 nisubiri milion 2..sio milion nisubiri elfu 50 NI USHAMBAA WA WON
 
huyu jamaa mnatakiwa mjaribu kumuelewesha ili aelewe somo atwambie kuna biashara ipi ambayo faida yake inazidi mtaji?
 
Wakati unamponda mwenzako kaingiza 30,000..Wewe endelea kusubiri hizo hela ndefu kama Za Biko..
 
huyu jamaa mnatakiwa mjaribu kumuelewesha ili aelewe somo atwambie kuna biashara ipi ambayo faida yake inazidi mtaji?
Mkuu betting ni biashara?? Aisee hivi unajua biashara ni nini? Embu watafute waliosoma biashara mkuu watakwambia what is business...betting ni mchezo mkuu unaitwa mchezo wa kubashiri mimi na wewe ndio tutaiona km KAZI, BIASHARA, N.K ila ni sport betting hakuna hata kampuni mmoja iliyopromote betting ikaiitangaza hii ni biashara THIS IS NOT BUSINESS..embu Google neno SPORT BETTING utajua kwamba hasira, panic, malengo unajiwekeea wew tu hakirin ila hii ni mchezo wa kubashiri tu
 
Wakati unamponda mwenzako kaingiza 30,000..Wewe endelea kusubiri hizo hela ndefu kama Za Biko..
Wewe unaweza kuingiza laki moja kwa kuitaka elfu 30? Wapi nimesema nataka bilion? [emoji116] hapo nimeingiza milioni? Tatizo ukweli amtaki kuusikia ila jamaa ambet kishamba sana mybe mgeni wa betting
 
Wewe unaweza kuingiza elfu 30 kwa kuita laki moja? Wapi nimesema nataka bilion? [emoji116] hapo nimeingiza milioni? Tatizo ukweli amtaki kuusikia ila jamaa ambet kishamba sana mybe mgeni wa betting View attachment 925552View attachment 925553
Sorry mkuu nimegundua kwanini umeona 90,000 nyingi sana.Tuiache hiyo mada.
Ila Mimi Pia nabet kishamba odd zangu 1.3 naweka stake kubwa.
 
Juventus Jana kaniharibia siku... Unashindwaje kuomba droo na Manchester
 
Sorry mkuu nimegundua kwanini umeona 90,000 nyingi sana.Tuiache hiyo mada.
Ila Mimi Pia nabet kishamba odd zangu 1.3 naweka stake kubwa.
Ni pm nione wapi umeweka elfu 50 ukisubir japo elfu 70....humu wajuaji wengi ila mnapoteza wenzenu mtu mwambie ukweli hata akinunua that y makonki siku hizi wanapita kimya kimya ktk ili jukwaa coz mliokuwepo nowdys mnapotoshana sana ila wengi ni wageni wa hio bettng neno WON limekuwa linawachanganya zaid kuliko ulichowin
 
Watanzania sijui ujinga utawaisha lini, kila mtu jamani afanye mambo anayoweza, hizi mambo za kupangiana mambo ya kufanya sio, kila mtu anajua njia yake ya betting inayomuingizia faida, abaki nayo sio anatokea boya mmoja anaona mwenzie mjinga kwa vile amewekeza mtaji mkubwa faida kidogo. Jamani tuacheni tabia za kijinga jinga, kila mtu apambane kwa namna awezavyo kuwin mikeka yake.
 
subiria hiyo biashara ya kukuingizia faida 2,000,000 kwa mtaji wa milioni moja, tambuwa kwamba hata biashara unazoziamini wewe bado zina faida na hasara, labda nikueleze tu hata biashara siku hizi ni kamari kwa sababu huna uhakika na unachokifanya kama kitakulipa au laah wakati mwingine hata mahusiano nayo ni kamari kwa sababu huna uhakika kama uliye naye utaweza dumu naye au laah..................................wenye uelewa watanielewa
 
Mkuu hii sio biashara ni sport betting waliokuwa uwanjani wanacheza wanaingiza pesa wanajenga na afya zao..unapoifanya ni biashara serious unajiumiza wew tu mkuu...ni njaa zetu ndio zinatuforce kusema betting ni biashara hata ukiwon milion 50...ni bahati yako tu ktk mchezo wa kubashiri umepata hizo pesa ila bado sio biashara hii wapo wanaofanya biashara ktk betting ila sio mtu wa mwisho anayebet
 
katika ufanyaji wa biashara hatuangalii faida tu vilevile tunapaswa kuangalia jinsi ya kulinda mtaji ulio nao ni bora upate faida ndogo kwa ajili ya kuulinda mtaji kuliko kutaka kupata faida kubwa huku risk ya kuupoteza mtaji ikiwa ni kubwa, mimi nadhani huyu jamaa hajawahi kufanya biashara eti anashangaa milioni kuleta 50,000 kwa siku huyu mtu ananishangaza sana.
 
Acha comments za kidada wew huyo aliyeitia hio pesa amekuja hapa kulialia na kushukuru miungu yote kwa kuzipata hizo elfu 30 amepangiwa na nani? Mkeka wake wa elfu 30 angenyamaza nao ningejuaje km kuna mdau ametia 99000 amepata elfu 30 anashukuru mpka mizimu ya kwao
 
Wewe unazungumzia biashara mimi nazungumzia sport betting..embu nithibitishie sport betting ni biashara kwa mtu anayebet....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…