Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mdau watu wameweza kufungua biashara unazoziamini wewe kupita kwenye betting tambuwa kwamba betting ni fursa kwa mtu makini, watu wamezalisha biashara zingine mtaji umetoka kwenye betting wewe unataka kutueleza nini leo hii, kuna mtu kila siku anacheza milioni 2 ili apate laki moja kwa siku na anaipata kila siku, mdau ukiwa na malengo kwenye kubeti nakwambia hata kazi hizi za kuajiliwa utaona upuuzi tu niamini mimi, tatizo sisi wabongo tunabeti pasipo na malengo lazima uwe na maamuzi kuwa kwa siku natakiwa nipate kiasi gani kikifika hicho kiasi hutakiwi kubeti tena hata kama kutakuwa uwezekano wa kuongeza mfano mimi kwa siku nikifikisha elfu 30,000 tsh basi huwa sibeti tena mpaka siku nyingine, na mtaji wangu ni elfu 20,000 tsh tu, na kupitia hii betting nimeweza fanya mambo yangu mbalimbali.
 
Sibishanagi na mashoga mie, naona wamekuzibua mtaro huko unakuja kupozea huku maumivu, pambana na mambo yako hanithi wewe acha kushobokea mambo ya watu.
 
Hata km umefanikiwa kupata milion 100 ktk betting ukafungua macar wash n.k tunasema umebashiri umewon (ni bahati yako) aina maana kuwa umefanya biashara ya kubet (kubet sio biashara) ktk betting hakuna ujuaji ni bahati pia so ukiwa makini ndio uache kazi yako ili ubet (ni uzwazwa wa mwendokasi na USHAMBAA) hata odds 1.05 ukiifata unaweza kupotea hakuna won ya 100% betting sio biashara ni mchezo wa kubashiri ukiwin ni bahati yako zaid aina ujanja betting aina mjuaji betting
 
Sibishanagi na mashoga mie, naona wamekuzibua mtaro huko unakuja kupozea huku maumivu, pambana na mambo yako hanithi wewe acha kushobokea mambo ya watu.
hahahahahah mdau basi bhana achana nae huyo mtu
 
Sibishanagi na mashoga mie, naona wamekuzibua mtaro huko unakuja kupozea huku maumivu, pambana na mambo yako hanithi wewe acha kushobokea mambo ya watu.
Aisee dakika 2 nyuma wew ndio ulikuwa unawaita watanznani wajinga? So betting ni Mali yako sio hakuna anayetakiwa kuizungumzia? Mkuu relax najua betting inakunyoosha uropa ipo leo tuendelee kubet
 
Wakuu,hawa sport pesa mkeka mwisho match ngap,manake siwaelew,hiz uefa za leo wale wajinga weng wanatia 1.5over leo,..sasa nmetandika mkeka m1 wa kujifurahisha tuu match 14 za europa 1.5over naona inagoma ku stake..ndo kawaida au,maana toka jana 1xbet izingue ikabid nidownload hiz app za kibongo..chenga kweli
 
Wakuu leo mechi zipo nyingi sana tupeane hints aiseee
 
1xbet tayar inafanya kazi
 
Punguza jazba kidogo mkuu polepole tu ataelewa.
Mkuu watu awapendi ukweli ila ukweli ndio huu betting sio biashara ni mchezo wa kubashiri (unaendana zaid na bahat) nimeanza kubetisha 2009 kipindi icho muhindi anatoa fixtures mbili normal page yake na handcap page yake ktk mkeka wa muhindi neno UBASHIRI UTAKAOFANYIKA WAKATI MCHEZO UMEANZA NI BATILI (ilo neno bado alijaandikwa ktk mikeka ya muhindi lina historia ndefu ilo wachache wanajua kwanini defenda zilifunga kariakoo kwa masaa) nishabet sanaaaa, nishajuana na watu wengi sanaaa, tumeshaliwa sanaaa, tumeshawin jero kwa milion 5...hizi kauli zinazozungmzwa humu sijui biashara, sijui unaacha kazi, hayo matusi sio vitu vigeni kwangu ni kauli tu ila BETTING SIO BIASHARA NI MCHEZO WA KUBASHIRI (So neno mchezo ndani yake kuna kila kitu kuburudisha, kufurahisha, kujenga urafiki n.k that y kuna watu tumejuana kupitia huu mchezo leo hii ni madiwan ila wamebet sanaaa na walikuwa na ndoto nying sanaa kupitia betting ) nowdys tunabet km hobby tu hawa wanaonishambulia saa hii itafika kipindi wataona betting ni mchezo tu Acha leo mishipa ya shingo iwatoke hapa ila huu ni mchezo wa kubashiri...
 
Kubeti ni kuweka pesa kwenye mchongo na kuanza kuomba mungu itoe matokeo unayoyataka
 
Mkuu biashara zote ni sawa na betting coz tuma weka pesa na hatuna uhakika na tunachokitarajia
 
Tufanye umeelewaka mkuu ...basi malumbano yaisheee
 
Hizi id's mpya mbona malumbano sana hivyo nadhani sio sahihi kabisa.
Tuelekezane kwa upendo tu yatosha,ndo mana wakongwe wanaamua kupita humu kimya kimya.
 
Napenda kumsikiliza kila mtu mkuu nawe pia nimekuelewa neno bahati nasibu litabaki palepale ni kwel unaweza ukabashir kwa odds ndogo kabisa na bado ukapoteza na usiamin kilichotokea ila ndivyo ilivyo, all in all tupo kujuzana kueleweshana mwisho wa siku mambo yaende kama kawaida hakuna haja ya kupeana kauli za kejeli wala matusi jambo jema ni kueleweshana ili mtu next time asirudie kosa lilelile mfano kama yule mkuu aliebet jana kwa kutia 99k kwa 30k ilihali alikuwa na 100k tu kama mtaji hapo ndipo alipokosea kwa mm nilivyoona maana hauwez ukarisk almost 99% ya mtaji wako wakati unacheza mchzo wa kubashir ambao unaweza ukawin au ukaloose, kwa mm nilivyoona angestake amount ambayo hata angeloose bado angekuwa na mtaji mfukon kuna mkuu aliwahi sema "stake what you can manage to loose" nilimuelewa sana maana yake kama nina elfu 20 basi nitastake elfu 10 tu then elfu kumi ibak kama mtaji maana yake hata ikitokea hata ile 10k imepotea kwa mrusi bado nitabakiwa na 10k kama mtaji. Ila mwisho wa siku kila mmoja ana mipango yake tubaki tu kupeana ushauri namna gani tunaweza kusukuma gurudumu.
 
Mechi 20 mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…