Mkuu ivi quarter moja ya basketball huchezwa kwa dakika ngap na quarter zotr nne zinakuwa na dakika ngapimkuu usibishane nae avatar yake yenyewe inaonyesha amejoin 2018,alihic huku kwa muhindi kuna pesa za buree.
Mkuu quarter moja ya basketball huchezwa kwa dakika ngap na na je quarter nne zinakuwa na dakika ngsp kwa ujumla wake plz mkuiWaliofuata WOONView attachment 926258
mkuu ivi quarter moja ya basketball huchezwa kwa dakika ngap na mchezo mzima kwa ujumla wake unatumia dakika ngapi bossMbona wadau wanalalamika 1xbet kudeposit na kuwithdrawal mbona ipo faster tuu..apa nimetoka kuweka..kutoka itawadia soon
Mkuu naomba darasa hapo kwenye handicap unaangalia vigezo gani kutoa handicap hiyo mkuu, nifafanulie mkuu wangu tafadhali!Waliofuata WOONView attachment 926258
Dk 10 kama sijakoseamkuu ivi quarter moja ya basketball huchezwa kwa dakika ngap na mchezo mzima kwa ujumla wake unatumia dakika ngapi boss
Mm nmeweka toka Jana asubuhi aiseeMbona wadau wanalalamika 1xbet kudeposit na kuwithdrawal mbona ipo faster tuu..apa nimetoka kuweka..kutoka itawadia soon
Quarter 1 dk 10 ila wachina,NBA na Philippines NI dk 12 so Kuna dk 40 full time na 48Mkuu quarter moja ya basketball huchezwa kwa dakika ngap na na je quarter nne zinakuwa na dakika ngsp kwa ujumla wake plz mkui
Mkuu uwe unasave then unatunatupia bet codes
Mkuu tupia juu macho swali langu!Quarter 1 dk 10 ila wachina,NBA na Philippines NI dk 12 so Kuna dk 40 full time na 48
Naangalia h2h na hiyo siku Nani kaanza kufunga na NI Nani akianza huwa anatoa vikapu vingi vile vile na tofauti ya vikapu kwenye quarterMkuu naomba darasa hapo kwenye handicap unaangalia vigezo gani kutoa handicap hiyo mkuu, nifafanulie mkuu wangu tafadhali!
Ninapoanza kusave nakuta odd zimepunguaMkuu uwe unasave then unatunatupia bet codes
Ok nitakuwa nabet then narudi kusaveNinapoanza kusave nakuta odd zimepungua
POA tu hivohivo hata nikija kukuta odds zimepungua kidogo.....Ninapoanza kusave nakuta odd zimepungua
Vile vile huwa napenda kupost hivo Kuna wengine watalalamika kuwa anapost yeye mbona haweki dauOk nitakuwa nabet then narudi kusave