Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo kwel
Mbaya ukapost halafu ikawa loss wataona unawaingiza Chaka inatakiwa Kuna msemo unasema believe in yourself and others will too. Unakuta Sina utaalamu wowote ila kwa kujimini tu na steka kubwa namwingine anapata imani ya mikeka yangu hata mrusi nae uchawi wake unagonga mwamba maana anaona upo serious nae
 
Mkuu ukiweka na dau kwakwel inahamasisha sana yaan me nikikikufuataga hata nikilost kibuku 5 changu naona ni kawaida maana mtoa mkeka unakuta katia mpaka 80k, hii kavukavu ikilost mara mbili tatu wadau wataona wenge na kutimua mbio ndefu.
Vile vile huwa napenda kupost hivo Kuna wengine watalalamika kuwa anapost yeye mbona haweki dau
 
ooook sawa ,but hata mie nilikuwa nahic ivo lakini kuna siku nili sell hiyo hela sikuiona kabsa,
Ndo nika dout kuwa labda nimekosea ndo nikaona nipate kufahamishwa,saa cjui sasa labda hiyo hela ipo hewani,[emoji26]
Wadai pesa yako ,kama una rekod yake chat nao warushie screenshot
 
Kweli kiongozi kwa jinsi unavojilipua ungekuwa huoneshi stake wengi tungejua upo kwaajili ya kutupeleka chaka
 
Hakuna mtu anayecheza Inplay kwa uwoga kama mimii. Nimeamin Kunguru kwa uwoga wake huishi miaka mingi.
Tatizo la betting ukiwa mwoga utacheza odds za 1.21, 1.09, 1.11 ila still pia utakula mitama tu, haimaanishi ukicheza viji odds vidogo ndo huliwi sasa ni bora ubadili strategy tu, chezaa odds kuanzia mbili na kuendelea ukipiga hela inaongezeka fasta ukifeli ni kawaida maana hata ukicheza odds ndogo ungeliwa tu! Nampa heko bwana Void abnito na wahuni wengine wanaojitoa jihadi odds 2,3,4,5+ na mungu anabariki kweli!
 
Jana nimeenda premier bet nimecheza odd 1.11 nikaliwa 60k
 
Jana nimeenda premier bet nimecheza odd 1.11 nikaliwa 60k
Sasa umeona mambo hayo, inafikia stage unajilaumu bora ningebetia odds 3 tu huenda ningekula! Maana hapo kuna odds za opposite choice zilikuwa nyingi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…