Yes mkuu mimi nimedeposit jion hiii safii kabisaaakuna aliye deposit 1xbet kupitia m-pesa leo na hela ikaingia kwenye akaunti?
Webwama iz stake zako unatusumbua sana umu jukwaani cjui umetokea wapi ww yani unatuwekea vi mia3 kila sekunde sasa cc za nn ata changamoto azitupiUuuh!! Hatimae,,utafikiri unamsubiri dokta na majibu ya damu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 927719
Naona unanitafutia ban mkuu. Kwani kuna mtu kakuita huku? Hebu achana na mimiWebwama iz stake zako unatusumbua sana umu jukwaani cjui umetokea wapi ww yani unatuwekea vi mia3 kila sekunde sasa cc za nn ata changamoto azitupi
Acha kaushamba ako em tulia cjui nani kakufundisha kubet ad umekuwa msumbufu iv
Daah unatuchosha iv cjui umetokea wapi iv uwaoni kina voidNaona unanitafutia ban mkuu. Kwani kuna mtu kakuita huku? Hebu achana na mimi
Sungusungu na mwenzio kid kudi jibizaneni kwa njia ya inbox zenu(pm) hili jukwaa ni kushusha mikeka na mbinu za ushindi tu sio hayo malumbano yenu.Daah unatuchosha iv cjui umetokea wapi iv uwaoni kina void
Kweli mkuuSungusungu na mwenzio kid kudi jibizaneni kwa njia ya inbox zenu(pm) hili jukwaa ni kushusha mikeka na mbinu za ushindi tu sio hayo malumbano yenu.
Sibishani tena mkuu huo muda ntaufanyia utunishaji wa kibubu changuSungusungu na mwenzio kid kudi jibizaneni kwa njia ya inbox zenu(pm) hili jukwaa ni kushusha mikeka na mbinu za ushindi tu sio hayo malumbano yenu.
M LIPA si ni ya Voda mkuu na ndio inayoleta mushkeli! Wale wa Tigo tunatumia Beyonic ni chap kwa haraka yani unalogin unaikuta hela yako!Njia za deposit zipo nying pale
Kuna Visa
Fungua Acc bancAbc
Ama FNB ama Equity etc
Omba kadi ya Visa uweze kufanya izo online transaction
Ama fungua online wallet eg Skrill ama Nettler hakikisha ume verify taarfa zako una weza zitumia kwa ajili ya kufanya miamala iyo
Lastly una weza fungua PAYPAL kisha uka i link na CRDB bank kisha mambo yakawa mtelezo tu
M LIPA tupa kuleee
Mi natumiaa airtel mpkaa sasa imegomaM LIPA si ni ya Voda mkuu na ndio inayoleta mushkeli! Wale wa Tigo tunatumia Beyonic ni chap kwa haraka yani unalogin unaikuta hela yako!
Sibishani tena mkuu huo muda ntaufanyia utunishaji wa kibubu changu
Hata mm natumia line zote za voda na tigo lakin voda hawamiliki kampuni yoyte zaid ya MpesaM LIPA si ni ya Voda mkuu na ndio inayoleta mushkeli! Wale wa Tigo tunatumia Beyonic ni chap kwa haraka yani unalogin unaikuta hela yako!
tumia hii 0758460813Kuna namba napiga hawapokei Mara ipatikane mda mungine haipatikani aisee
Siku utayoamua kujiamini kutupia 50,000 ndo utapoamini uchawi upo na unafanya kazi!!!Uko kama mimi aisee, najikuta naweka stake ndogo ila ndo inayoleta win
Thankstumia hii 0758460813
Chukua hiyo code bonyeza hicho kibox ambacho kipo kama mshale paste hapo download mkeka weka stake then betSijuagi hizi codes zinatumikaa vipi mkuu
Kwenye 1xbt sioni huo mshale