Starehe Kitandani
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 676
- 342
Nilikataliwa kuwithdraw na 1xbet, ko nikafungiwa account mbaka nifanye verification. Nimefanya verification wakafungua account, ila xx account haina kitu
Utakuwa ulijisajili kwa njia ndefu ya Email
Ulifanya full registration au fast registration?Nilikataliwa kuwithdraw na 1xbet, ko nikafungiwa account mbaka nifanye verification. Nimefanya verification wakafungua account, ila xx account haina kitu
Fast registrationUlifanya full registration au fast registration?
Ungefanya full registration ndio haina usumbufuFast registration
Labdaungewaelekeza wenzako jinsi ya kufanya full na fast registrationUngefanya full registration ndio haina usumbufu
Kwa Email upo safe, hapo walisha verify kwamba we ndie mmiliki halali wa ushindi! Wale waliokatiza denge kwenye usajli balaa linakuja ukiwapiga hela ndefu!Ni kweli nilijisajili na E-mail account
Ni simple tu we unachagua either by mobile au email. UnatiririkaLabdaungewaelekeza wenzako jinsi ya kufanya full na fast registration
Wakuu msaada nimeseposite 1xbet lakin pesa ajaingia na pesa ishakatawa
nimesikia server isharudi... mwenye kutest hata kutoa atedtNi simple tu we unachagua either by mobile au email. Unatiririka
ahsante sana mkuuHivi Mkuu hujaona watu wanajadili 1xbet kuna tatizo la deposit na withdraw wewe umeendelea kudeposit?
Kama hukuona pole.Piga huduma kwa wateja watakusaidia.
Duh ww jamaa banaKipigo cha mbwa Ni zamu yake mdo mdoView attachment 930983
Hata mm nasubili laki5 yangu yani hadi kuingia umu jukwaani nashindwa awa jamaa cjui vp1xbet ni wazuri,ila sio kwa miamala Sikh ya tatu hii hela yangu sijapata!
Nifanyeje wakuu?