Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tuvumilie haya makampuni yanaongozwa na wanadamu kama sisi.
Kwa hivyo changamoto hizi kila mahali zipo.
Ladbrokes wana masharti magumu mno mpaka nilijuta kujiunga nao, verification tu ilibidi tugombane ndio wakaichia pesa yangu
Ishu iliyopo kila mtu aende anakokutaka sasa utaacha kubet kisa kampuni fulani liko hivi au vile na si wote tutumie kampuni moja makampuni yapo kibao ukishindwa hili unaenda lile
 
A very inspiring tale, but do we live 100 years.This is Tz and we live today,we want today no more those sweet stories .
 
Kama wewe una withdraw hela ndogo ndogo bac 1xbet hawana shida na wewe. Lakini kama una withdraw hela ndefu mf.800k, 1mil, 2mil, bac utafungiwa akaunti yako tu. Amini, Usiamini.
Ni kwel aisee ukiwapiga hela ndefu ndo wanaanza usanii mara utime docoment zako wa hakiki
 
BASI JAMANI TUWE NA UTULIVU KWA LEO SIKU IMEENDA VIBAYA KWETU SOTE,

MAMBO YATAKAA SAWA TU,CHANGAMOTO ZILIANZIA BUSITANI YA EDENI BASI HAKUNA KIPYA WANDUGU , TUKOMAE TU,[emoji257][emoji257]
 
Sasa mkuu mbn Premeirbet una deposit hela bure na hata kutoa ni bure. Makato utakutana nayo m-pesa!! Ni tofaut na 1xbet
Kwani unapodeposit kwa 1xbet ni sawa na unapodeposit kwa kampuni nyingine kuhusu makato? Mbona wagumu kuelewa wazee yaaan beyonic tayar wanakuwa wanalipa kodi yaan hela yako kila ukidosit serikal ishakula chake
 
@void intio lete mambo ya won achana na wahujumu ni wao tu kila cku naombeni namba ya m lipa mara nimethdraw toka juz hela haijaingia nenda mkekabet au mbet ukabet huko
 
www.pmbet.co.tz.
jaribuni hiyo hamtajutia.
Ukikosa gem moja kuanzia Tim tank halafu odd 1.35, unaludishiwa hela yako.
Ukikosa gem moja kati ya 12 unapata asilimia fulan ya pesa yako.
Zikibaki gem 4 halafu umeshinda zingine, na hakuna gem inayoendelea. Unaruhusiwa kuuza.
Karibuni sana.
 
Wakala utamjua tuu. Hili jukwaa leo limevamiwaa
 
Mkuu Honestty, Mimi siyo wakala ni mgangaji kama wewe lakini najaribu kuwaonesha ninavyo enjoy kuweka na kutoa pesa.
 
Muhimu zaidi 1xbet ni moja ya makampuni yanayodhamini kama si ligi ya Hispania kwa ujumla basi ni moja ya timu zinazocheza ligi ya laliga
 
Mie leo ilikuwa kama bahati, niliwithdraw kiasi kukidhi shida zangu.Baadaye nikapata pesa nikaona nizibe pengo, nakutana na ujumbe wa huduma za Airtel Money, TigoPesa na M-Pesa hazipatikani.Sasa sijui mpaka lini zitarudi ni suala la kusubiri tu.
Hahaha si wanadai ndani ya masaa 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…