Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu Honestty, Mimi siyo wakala ni mgangaji kama wewe lakini najaribu kuwaonesha ninavyo enjoy kuweka na kutoa pesa.
wewe umetumwa pia sasa waambie waliokutuma wamefeli na tumeshatuma email 1xbet kuwataarifu hili suala kwa maana hiyo figisu zenu ni bure kabisa badala ya kutafuta njia bora za ushindani mnataka kutuletea ukasuku kwenye shamba letu shame pumbav.u sana nyie tafuteni njia nyingine ya kutafuta masoko sio hii, hapa mmeshafeli mtihani kabla hata ya matokeo makumazani nyie.
 
Hivi haya malalamiko mbona yamekuwa mengi
Kwan n lazma u-deposit au ku-withdrawl kwa mpesa au tigo pesa? Option ni nyingi waweza tumia visa au MasterCard au skrill n safe zaid
Tueleweshe basi hapo kwenye skrill unatumia utaratibu gani ili na sisi tuangalia possibility
 
Cha maana ni kutuma malalamiko kwa xbet na kuwaambia kuwa wanahujumiwa na m,lipa na watafute agent mwengine
 
Safi sana wanatupotezea muda wa kujadili jinsi ya kumuua mrusi
 
Cha maana ni kutuma malalamiko kwa xbet na kuwaambia kuwa wanahujumiwa na m,lipa na watafute agent mwengine
kiongozi hilo kwa upande wangu nimeshawatumia email ya tahadhali mapema sana leo kuhusu ukasuku wa M-LIPA na malamiko ya wateja wa 1xbet kuhusu M-LIPA ngoja tusubir yatakayojiri.
 
Makampuni yote ya kizungu yana hii tabia, fuatilieni mitandaoni mtaona forums za malalamiko
waambieni waliowatuma wamefeli makumazani nyie tafuteni njia nyingine za kutafuta masoko sio huku sisi 1xbet ni shamba letu hamuwezi kututoa hata kidogo .
 
Kuna kitu inaitwa M-Pesa Mastercard, ebu tujaribu hii tuone kama itatupa suluhisho la hii kadhia.Wale wadau wenzangu wa 1xbet,au tufungue e account ya PayPal.Kuna mdau mmoja wa betting anatumia hii .
Unafunguaje na kudeposit na kuwithdraw unafanyaje. Tuanzie hapo
 
Nayafanyia kazi malalamiko yenu kuweni wapole wafanyabiashara wetu wa 1xbet. Wakati mkiwa mnasubiria huduma za malipo kwa njia ya mitandao ya simu tunapenda kukutaarifu kuwa BIKO na TATU MZUKA na sasa hivi kuna kitu kipya ndani ya Tanzania kinaitwa MOJASPESHO ina trend videadly yaaani videadly kama umekumbuka Hili neno LOSS. Karibu sana.
 
huo mchezo huku hatuuhitaji tafuta wanaouhitaji hiyo nimichezo sio huku, huku tunatandika mikeka tu sio huo upuuz.i kama mmeshindwa kutafuta masoko kwa njia nyingine basi fungeni biashara zenu.
 
huo mchezo huku hatuuhitaji tafuta wanaouhitaji hiyo nimichezo sio huku, huku tunatandika mikeka tu sio huo upuuz.i kama mmeshindwa kutafuta masoko kwa njia nyingine basi fungeni biashara zenu.
Mkuu umepanic naona acha kukurupuka kijana angalia hii ID kama ni ngeni na huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…