nyie si ndio mawakala wa local betting company mnataka kutuvurugia utaratibu kwa 1xbet acheni hizo mambo bhana masoko hayatafutwi kwa mtindo huo.Acha kupoteza muda wako mkuu kwa mtu wa namna hiyo boss.
rudi 1xbet kupo vizuri saiviDaah kidogo naanza kuzoea m cheza
Pesa ya saa nane usiku hii. Ukiikosa wewe tu.Pesa ya kesho saa nane usiku, Weka 'milioni'.View attachment 932933
Daa hadi raha yaani kudeposit hivi sasa 1xbet nikugusa tu aiseee
Mkuu mbona 1xbet kupo fresh hvi sasa nikugusa tu kitu kimooDaah kidogo naanza kuzoea m cheza
Nazani jamaa wa apa bongo aisee ndio Niko saiz wako vyema sana kama xbet option zao na ukitoa pesa sekunde 30 azifiki ndo nilipopenda mcheza.co.tzMcheza ni kampun ya wapi tupe link mkuu
Weka basi hapa tuone, nimejaribu kuifuatilia sijaipataPesa ya saa nane usiku hii. Ukiikosa wewe tu.
Hahahaa mkuu namm tayar nshaizoea mkuu naona jamaa wako poa hakuna option nakosa AF naona v2 vyao uhakikaDaah kidogo naanza kuzoea m cheza
Et poa....hhhhh mkuu umenicheksha afu nipo ugenn
Hhhhhhhhhhh
Uko najua kuko poa sema wenge Mara nimetoa pesa mda mwingine haifiki na hakuna jinci inarudMkuu mbona 1xbet kupo fresh hvi sasa nikugusa tu kitu kimoo
Umejaribu kutoa kwa leo mkuu au kipindi cha nyuma maan leo naon kuko tofauti sana kutoa na kuweja hata dakika moja haiishiUko najua kuko poa sema wenge Mara nimetoa pesa mda mwingine haifiki na hakuna jinci inarud
Naogopa hata kuweka mia mkuu washanilamba 300k yangu ad Leo sasa yann kulamba, sumu ingawa najua unaweza kubali navp ikinigomea sasa so no needUmejaribu kutoa kwa leo mkuu au kipindi cha nyuma maan leo naon kuko tofauti sana kutoa na kuweja hata dakika moja haiishi
Hapana mkuu usiogope we komaa na mlipa mi mbna kuna hela niliweka tangu last week haikuingia nimekomaa nao mpaka wameirudisha mpesa leo baada ya kumtumia sms kupitia whatsap usikubari kupoteza pesa yako namna hyoNaogopa hata kuweka mia mkuu washanilamba 300k yangu ad Leo sasa yann kulamba, sumu ingawa najua unaweza kubali navp ikinigomea sasa so no need
Unazani nimeacha mkuu kila siku nawasumbua jamaa inaonekana et haijawa confirmed na waoHapana mkuu usiogope we komaa na mlipa mi mbna kuna hela niliweka tangu last week haikuingia nimekomaa nao mpaka wameirudisha mpesa leo baada ya kumtumia sms kupitia whatsap usikubari kupoteza pesa yako namna hyo
Sms ya mtandao ulofanya mwamala unayo lakini kama unayo ni simple mtumie jamaa whatsap kwa kuweka na huo utambulisho wa mwamala yaan ni chap tu hela yako anairudishaUnazani nimeacha mkuu kila siku nawasumbua jamaa inaonekana et haijawa confirmed na wao