Juu ya alama View attachment 937207
Teh teh teh teh usingz ni afyan na kubet sana ni atar kwa afya yako[emoji3][emoji3][emoji3]Nimekurupuka saa 10 kujaribu bahati yangu NBA nikala za uso nikajutia usingiz wangu na mpunga wangu, nikiendelea na huu mchezo na vipigo hiv kwa muda wa miaka miwil zaid nitakuwa nimepunguza muda wangu wa kuishi maana moyo wangu unapata taabu sana kwenye kusubir mkeka wangu, dah eeh mungu tusaidie tunaokula vipigo wote.
[emoji3][emoji3][emoji3]Ahahah mkuu we acha tu hiz mambo ukiwa na jazba unaweza pasua simu.
Hahahahaha, betting bwana ama kweli haina adabu,wengine wanalalama mala oooh nimekurupuka zangu usiku nikapigwa za uso, mechi moja ya chukago,Juu ya alama View attachment 937207
Mwenyewe Putin nimeanza kumuogopa siyo wakumzoea Sana na mishindo inatakiwa unamtest Mara moja moja siyo kila MaraUngetia ile mishindo yako mkuu ilikuwa hasubuhi moja murua sana.
Nitaenda na stly ya m bet naanza 5000 nikimpiga naongeza 5000 nikimpiga hivo hivo akinipiga nashukaMwenyewe Putin nimeanza kumuogopa siyo wakumzoea Sana na mishindo inatakiwa unamtest Mara moja moja siyo kila Mara
Nitaenda na stly ya m bet naanza 5000 nikimpiga naongeza 5000 nikimpiga hivo hivo akinipiga nashuka
Nitaenda na stly ya m bet naanza 5000 nikimpiga naongeza 5000 nikimpiga hivo hivo akinipiga nashuka
Nilichelewa kuona, tupia nyingine
Siioni hii aiseee
Nafuatilia darasa kwa umakiniHuyu hizi quarter 2 za 1hf ameongoza vikapu 34 nimempa aongoze kwa vikapu 46 tumjaribu naona km Yuko form View attachment 937246