Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Solution hapa ni kipga kazi uku ukulinda hii balance ilokuepo kwny Account ya 1xbet kwa Nidhamu ya hali ya juu sana mpaka ambapo Mambo yatakaporejea Sawa.
Mkuu hapa tutakuwa tuna bet mara mbili.

1. Tunabet mikeka kama kawaida kuchaguwa options katika game

2. Tunabetia pesa baada ya ticket kuwa won maana mpaka sasa hatujui kama ndio hawatakuwepo tena tz au la.

Namb 2 hapo[emoji115][emoji115]tupaangalie sana vipi kama nikipiga mpunga wa maana na huyu mrusi asielewane na wataka kodi watatupa muda wa kutoa pesa zetu???
 
Njia za kutoa pesa zipo nyingi sana ni wewe mwenyewe tu kuchagua
 
Njia za kutoa pesa zipo nyingi sana ni wewe mwenyewe tu kuchagua
Si wote wenye kuwa na access ya hizo njia nyingine mkuu. Kwa wale wasio na ufahamu na hizo njia nyingine itawatatiza aisee. Mi nasubiri mpaka nipate uhakika kama mrusi kashaelewana na hao watu. Kuikosa pesa unaiona mkuu inapain zaidi ya kuuma
 
Kutokuelewana kwao haina maana kwamba mambo yatakuwa hayaendi, goma litaendelea kuchezwa kama kawaida...
Vipi kuhusu bwin, sky bet, bet365, na mengine mengi ambayo hayana ofisi Tanzania... lakini still watu wanaendelea na kazi na pesa inaingia kama kawaida... Sababu si mobile option pekee ambazo tunaweza tumia kutoa na kupokea pesa kutoka kwenye hayo makampuni... Hao ving'ang'anizi wa kibongo (makampuni uchwara ya betting) hawana jipya na wamebaki na fikra zao mgando...
 
Si wote wenye kuwa na access ya hizo njia nyingine mkuu. Kwa wale wasio na ufahamu na hizo njia nyingine itawatatiza aisee. Mi nasubiri mpaka nipate uhakika kama mrusi kashaelewana na hao watu. Kuikosa pesa unaiona mkuu inapain zaidi ya kuuma
Gud lucky mkuu
 
Mkuu hapa solution ni kudeal na njia mbadala za kufanya transaction tu ikiwa hii ya mobile payments ina sua sua ni kujipanga na matumizi ya njia nyingine.
 
Kingine nasikia TRA nao wanataka 20% ndo mana huduma ya malipo imesimama kwa muda mpaka watakapoelewana, USHAURI kuna Bank nyingi zina huduma ya malipo ya mtandaoni (Visa au MasterCard) unaweza kujiunga huko na mambo mengine yakaendelea kama kawaida
hakuna cha TRA kutaka ushuru wala nn yaani mpaka kampuni uone imefika hap lazima wawe wanalipa kodi,,
 
TIME = 17:00pm
EUROPE: Euro U19 –
First stage
Croatia U19 – Czech
Republic U19
Tip : 3+ ( Over 2.5
goals )
Odds : 2.25
Congratulations

✅✅✅✅✅✅
 
hakuna cha TRA kutaka ushuru wala nn yaani mpaka kampuni uone imefika hap lazima wawe wanalipa kodi,,
AFADHALI UMEJIBU NILITAKA KUULIZA MNAMJUA.MAGU VIZURI AMA..AWAWEZI KUWA AWALIPI KODI..AMA WATUAMBIE KIWANGO CHA KODI KIMEONGEZEKA

ILA NIJUAVYO VIWANGO.N SAWA BET COMP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…