Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Apa dar ofis zao zipo wap mkuu??
 
Haaaaah mkuu upo Simiyu ako ka mkoa bado sana wilaya zenywe changa tu Sio bariadi, meatu, busega, maswa, Itilima kote hakuna ufadhali kwny huduma muhimu
Achaga madharau ngosha
Jiji letu kukaita ka mkoa?
Acha hizo wewe..
Karibuni simiyu!
 
nataka kujifunza kubet naomba muongozi...naomba mentor
karibu kwenye ulimwengu wa kubeti ila inahitajika uwe mvumilivu sana na hatuhitaji kukata tamaa leo unakula kesho unaliwa ndo maisha ya huku karibu sana kwenye soko letu la hisa.
 
nataka kujifunza kubet naomba muongozi...naomba mentor

Kujifunza utajifunza cha msingi hela zinatumika na uwe tayali kuliwa pia uwe mvumilivu hata ukipoteza pesa zako usione watu wanapost wanakula tu kwenye acc zao kunalost nikijijumuisha nami


Yajayo yanafurahisha !!!!
Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…