21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Tatizo hata hazionekani.
SIJAKUELEWA MKUU MIMI HAPO NATUMIA PREMIER BET KWA MANUFAA YANGU KIVIPITatizo hata hazionekani.
Hizo ni kwa manufaa yako mwenyewe
Hii in app gan mkuuWALIIOFWATAAA CONG'S
League: EUROPE: UEFA Nations League /
Time: 20:45
Match: Malta – Faroe Islands
Pick: X /X Odd: 4.30 / HT/FT Result: ?:?View attachment 941144
Unaziona mwenyewe wengine hatuzioniSIJAKUELEWA MKUU MIMI HAPO NATUMIA PREMIER BET KWA MANUFAA YANGU KIVIPI
Unaziona mwenyewe wengine hatuzioni
hakuna mkeka ulio shinda hapo. kuna mechi namba 1 na namba 6 imechafua mikeka yako
hakuna mkeka ulio shinda hapo. kuna mechi namba 1 na namba 6 imechafua mikeka yako
Mkuu hao betpawa hawakati kodi kwenye pesa ya ushindi?
Eti,Mkuu hao betpawa hawakati kodi kwenye pesa ya ushindi?
Wakifungua tawi tu kodi zitaanza trust me! Hata hao wabongo hawapendi hizo kodi maana zinawakimbizia wateja ila hawana jinsi kampuni zao wamesajilia brela! Bora ibakie online tu huko sio rahisi kufikiwa maana server zao ziko mbali!Hiv hawa 1xbet hawawezi kufungua at tawi moja hapa bongo ila hivi vikampuni uchwara za wabongo walie
Hapo hamna kampuni, options hazizidi 10 per game si utani huo! Sahizi live games ziko 3 ha ha ha ha!Nimekielewa sana hiki kiwanja
CRDB Card imefaa kuingizia hela mkuu?labda 1xbet wafilisike.... Kinyume na hapo ni mwendo wa kupiga kazi... Niwashukuru crdb
labda 1xbet wafilisike.... Kinyume na hapo ni mwendo wa kupiga kazi... Niwashukuru crdb
Huo ni ujumbe kwamba hata wanaouza mananasi sokoni huwa yanaozaga pia kabla ya kuuzwa, au wanaolima vitunguu huwa vinakataaga sometime wanakula loss! Ndio biashara mkuu funga duka hadi jioni!Aisee ni kweli napumzika mpka usiku saa tisa kwenye basketball ndo nianzane naye tena maana leo upepo nauona kabisa hauko kwangu ata kidogo upepo umehamia kwa mrusi asee sijatengeneA profiti yoyote since mornie!
Hapo hamna kampuni, options hazizidi 10 per game si utani huo! Sahizi live games ziko 3 ha ha ha ha!
Vipi mkuu umefanikiwa kuactivate visa card yako Crdb? Mimi nataka kwenda Equity bank.