Hamna njia za Mpesa mnawekaje hela mzee???[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]
Aisee, MLIOFUATA MKAWITHDRAW, Sociedade hamjawahi kuniangusha.
tehtehtehView attachment 942283
Kiongozi leo una upepo hadi raha, tuendelee na moyo huu huu kaka! Nafurahi sana kuona unatukumbuka wanyongeIn play iyo anayeifuata afuate View attachment 941624
Unatumia njia gani ku deposit na ku withdraw mkuuAisee, MLIOFUATA MKAWITHDRAW, Sociedade hamjawahi kuniangusha.
tehtehtehView attachment 942283
Hii interface yake ni kama MCHEZA betKuna kampuni moja inaitwa pigabet ina option nyng kama xbet ila tatzo lao moja tuu kweny ku withdraw pesa inafka ad cku mbili ila kwenye kuweka ipo fasta kama utakuwa na uvumilivu ijarbu wakat tunaendelea kuwasubil kampun yetu xbet
kwenye choo cha shimo![emoji23][emoji23]sisi wa huku simiyu tunabet wap
Kamanda Void nimekuvulia kofia, i never saw earlier this ningekufata hata kwa 500k maana ukiona mtu ana risk 400k maana uhakika ni 150%Aisee, MLIOFUATA MKAWITHDRAW, Sociedade hamjawahi kuniangusha.
tehtehtehView attachment 942283
Mwamba kazi nzuri sana, endelea kutupia vyombo mkuu na wanyonge tuweze kusogea sogea kwenye utajiri!Kwa yeyote aliyefata basi mambo ni motoooooo!! Bet WOOOON!!!!View attachment 942320View attachment 942321View attachment 942322View attachment 942323View attachment 942324
Wapo vzr wanajitaid ila tatzo uki withdraw pesa nilijarbu kama mara mbili inachukua mda kidogoVipi kuhusu inplay
Aaaah mkuu never mind penye possible nitahakikisha tunapapossiblize wote yassn kama bet ina uhakika basi ni wana wote mlambe shavu dodo nilazima niipost apa ila chonde chonde msifikiri sipigwi no kuna mbwa napigwa kama mbwa koko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiongozi leo una upepo hadi raha, tuendelee na moyo huu huu kaka! Nafurahi sana kuona unatukumbuka wanyonge
Kiongozi ulitaka niweke sh ngapi labda ili roho ifurahi na kusuuzika mzee baba?We jamaa stake zako [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Du kumbe na wewe unachezeagaAaaah mkuu never mind penye possible nitahakikisha tunapapossiblize wote yassn kama bet ina uhakika basi ni wana wote mlambe shavu dodo nilazima niipost apa ila chonde chonde msifikiri sipigwi no kuna mbwa napigwa kama mbwa koko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah mwamba wee unafikiri kuna mtu ambaye hapigiwi na hawa wabetishaji mzee baba basi kama kuna mwamba aliyekwambia ivyo ujue alikudanganya maana kuna muda unaweza ukaweka stake ukiwa na uhakikavkabisa na opt uliyobiopt lakini timu pinzani ikapinfua meza kibabe sasa apo si unapigwa kipigo cha Mbwa koko mzee father!!Du kumbe na wewe unachezeaga
Mfano leo kuanzia saa kumi alffajiri mpka saa moja asubuhi nimetengeneza sh laKi mbili kwa hizi hizi stake je hii ela ni ndogo boss within two hrs nimetengeneza iyo amount na ivi vistake vyangu alafu nafunga mahesabu till jion au baadae muda wowote nitakao jiskia kuingia kazini tena bet ni ujipimie mwamba sio ukamie kama vile unatafuta cha kwanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] ukikamia betting basi kila siku ni lazima rangi nyeusi zikutembelee kwa profile yako mzee dingi!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]We jamaa stake zako [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mfano leo kuanzia saa kumi alffajiri mpka saa moja asubuhi nimetengeneza sh laKi mbili kwa hizi hizi stake je hii ela ni ndogo boss within two hrs nimetengeneza iyo amount na ivi vistake vyangu alafu nafunga mahesabu till jion au baadae muda wowote nitakao jiskia kuingia kazini tena bet ni ujipimie mwamba sio ukamie kama vile unatafuta cha kwanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] ukikamia betting basi kila siku ni lazima rangi nyeusi zikutembelee kwa profile yako mzee dingi!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]