Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

HABARI ZA ASUBUHI WADAU?

Naomba kufahamu kana M-pesa MasterCard inaweza ku-deposite na ku-withdraw kwenye 1×bet?

Na Kama inawezekana,je,kwa sis tuliofanya registration hapo awali kwa namba ya simu unafanya nn?
M pesa Master card ni kwa ajili ya online purchases tu!!
 
Hiyo huduma sidhani kama ipo kwa huku kwetu.tushajaribu sana hola
Wadau hivi hii huduma ya kutransefer to friend kwa, 1xbet inakubali. Mi nikitaka kufanya inaniambia "transfer temporary restricted"
Kwa aliyefanikiwa msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…