Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu vipi? aisee sion option ya mobile payements kwe 1xbet kuna mtu amekutanan na hio shida au ni mm tu leo?
 
1 ,muwe munasalimia kwanza,2 kejele zingine hazifai,3 muwe munafuatilia thread zilizo pita siyo unatoka ucngzn tu unavamia ,hii kitu ina siku tano sasa.
inamaana ww leo ndo umeona,??
 
dah mkuu mbn nmesalimia, anyway nlikua safari porini huko hakuna mtandao so sielewi lolote aisee nkisma nifuatilie thread toka mara ya mwsho september nlipoingia ni page nyngi mno naomba nsaidie kunijulisha kinachoendelea mkuu samahani sana
 
Mkuu hizo option hazipo kwa sasa endelea kusubiri mpaka hapo zitakapo rudishwa
 
dah mkuu mbn nmesalimia, anyway nlikua safari porini huko hakuna mtandao so sielewi lolote aisee nkisma nifuatilie thread toka mara ya mwsho september nlipoingia ni page nyngi mno naomba nsaidie kunijulisha kinachoendelea mkuu samahani sana
ook ucjal,hawa jamaa wana siku karibia tano sasa wametoa njia hizi za ku deposit/kudraw.

inasumbua sana kwa maana ndo njia rafiki hasa kwa sisi wa halu za kawaida ila pia unaweza kuweka kwa kutumia njia zingine kama wanavyoelekeza kwenye system yao ya kuweka na kutoa,nazani wanajipanga kutokana na usumbufu uliokuwa ukijitokeza kwa kucheleweshwa kwa miamala.
 
poapoa mkuu asante
 
Sasa wewe kweli kwa hizo 3000 kwa siku kumi unashika milioni kweli
Sio elfu tatu sasa inayotengeneza M1 kwa siku kumi ni elfu moja ndo ushangae.
Nimekupa task ya kupitia comments za nyuma kidogo ioa hutaki basi endelea kula elfu 60 kwa siku! Kitu ambacho ni sawa na kiwango cha lukaku (HAKINA CONSISTENCY)
 
Eeehhh NGUMU KUMEZA unaliwa sana usinidanganye unakulaga NGUMU KUMEZA kula ni 1time out of 100 ukiwa na kismart sana utakula 2times out of 100.
 
Sio elfu tatu sasa inayotengeneza M1 kwa siku kumi ni elfu moja ndo ushangae.
Nimekupa task ya kupitia comments za nyuma kidogo ioa hutaki basi endelea kula elfu 60 kwa siku! Kitu ambacho ni sawa na kiwango cha lukaku (HAKINA CONSISTENCY)
Sasa mimi nimetengeneza faida ya elfu 60 huyo mwenzako elfu 30 wapi na wapi sasa
 
1 ,muwe munasalimia kwanza,2 kejele zingine hazifai,3 muwe munafuatilia thread zilizo pita siyo unatoka ucngzn tu unavamia ,hii kitu ina siku tano sasa.
inamaana ww leo ndo umeona,??
[emoji23][emoji23][emoji23], dah! taratibu mkuu.
 
Sasa mimi nimetengeneza faida ya elfu 60 huyo mwenzako elfu 30 wapi na wapi sasa
Bro wewe ni mgumu sana kuelewa nimetengeneza sh 30k kwa muda wa dkk 45 so count siku nzima ambayo wewe unaitumia kutengeneza sh 60k ina dkk 45 ngap yani ziko dkk 45 ngap ili kutimiza siku nzima ukishajua idadi yake zizidishe mara iyo 30k then rudi apa ubwabwaje, maana sion logic yako katika huu ubishani wako ni ipi kwamba unipangie amount ya kustake ama hoja yako ni ipi kwa apa braza?

By the way sharing is caring mzee baba wana pia wangependa kuifata iyo mikeka yako ya ngumu kubeza ya kustake jero ukala milioni ambayo unatusua kila siku ivyo fanya jambo moja la msingi plz share mikeka yako umu ndani hasa hii ya ngumu kumeza unayokula kila siku ili na wana pia tuifate na tuweze kutusua kama wewe yani tuweke jero tuibuke na million [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]mzee wa kazi maana sote tunapenda unafuu ivyo huoni kama utakuwa umetusaidia sana kwa kutupunguzia gharama za kubetia mkuu?

Fanya ivyo ili tuicopy na kuipaste hasa hii unayotia jero na ukaibuka na milion ili nasi tutie jero na tuibuke na milion mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…