Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa wale ambao walikuwa wanatumia 1xbet kabla kama mm nimetest premier bet naona wanajitahidi kuliko kampuni zingine za bongo. Ingawaje odds zao zipo chini kulinganisha na 1xbet.
 
ebu achana na uyo uku Brooklyn Nets anapigwa tu vp quarter ya 3 tunafanyaje
 
Nani ashawahi kutoa pesa kutoka kwa pigabet, nimetoa pesa tangu saa 1 jioni mpaka sasa sijaipata. Mbaya zaidi hawana namba za simu, meseji hawajibu, mails hawajibu dah
 
WTF..mobile system 1xbet zimeondolewa??!!;..Kama ni haya makampuni ya bongo ndo yameleta figisu basi yajitafakari..ovyo kabisa

Sasa ngoja tule shule ya cryptocurrency tuwe na bitcoin wallet tuendelee kugamble kama kawaida..
 
Wale ambao Hawataki kubeti timu nyingi kwa woga napenda kuwataarifu tena kuwa nimemkula tena muhindi elfu sabini kwa buku tu
 
Mmoja umetiki tayari elfu 70
Bado nasubiria miwili
 
WTF..mobile system 1xbet zimeondolewa??!!;..Kama ni haya makampuni ya bongo ndo yameleta figisu basi yajitafakari..ovyo kabisa

Sasa ngoja tule shule ya cryptocurrency tuwe na bitcoin wallet tuendelee kugamble kama kawaida..
Wanasema zimeondolewa kwa muda tu kwaajili ya maboresho zitarudishwa so soon
 
1. Nimekwenda kufungua akaunti equity kama wadau walivyoshauri ili kwenda sambamba na 1x

2. Yule andazi niliyemkuta nilimweleza kabisa airuhusu kadi kutumika kwenye mtandao akaniambia hii ni moja kwa moja kadi yetu inakubali huduma zote za e payment

3. Nilishugulikiwa tuu muda mchache nikawa nimeondoka

4. Tangu asubuhi kila nikijaribu kulipa inakwenda mpaka mwisho lakini ninapata ujumbe kuwa rejected wrong card number

5. Ninachohisi hakunielewa na hakuruhusu kadi hiyo na kesho namshona tena
 
Kaka hebu acha kubishana na huyu bwabwa! Atakupotezea muda tu bure uzuri sie tunakuelewa humu usijiaribie wasifu! Tutumie kazi mkuu tupate ya kulalia!
 
haha ..,et yule andazi....
wamekuzingua mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…