Umeongea ukweli mtupu broo yaaani hakuna Betting site bora, maridhawa , mujarabu ka 1xbet ivi vikampuni uchwara vya bongo ni wezi na matapeli wapuuzi kabisa yaaani pesa ya kwangu alafu wao wanataka kunipangia matumizi eti wananipangia nibet vip yaaani walivyo wahuni wanaweka opt ambazo kula ni 0.000001probability siwataki ata kuwasikia kama ikishindikana xbet basi nitasubiri mpaka siku watakapo rudi!!!ukweli 1xbet ni betting bora sana kwangu toka ili tatizo lijitokeze nimeshindwa kubet kabisa kwani inanifanya nisiamini app ingine kabisa
Aaaaaaaah kiasi mkuu ndo maaana mikeka yote ambayo imevuka %70 ya uwezakano wa kuwin basi ni lazima naishare umu ili inapotusua tusue wote na wana. Kuna wengine wanapenda kutumiwa code lakini kama unavyojua changamoto ya in play yaani ndani ya sekunde odds zinachange ivyo inaniwia vigumu sana kusave izi code maana inabidi nikimbozane na odds zisibadirike ivyo pale ninapo share umu pia kama mtu yuko fasta anaziwahi na tunatusua wote mzee wa kaziNdugu yangu naonaaa unawakimbiza tu...
Sema mwanahii picha ya kwenye avatar yako waga uyo jamaa ni Chid Vitz [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji16][emoji3] ama ni nani maana waga ananichekesha sana jinsi alivyopiga ilo poziNdugu yangu naonaaa unawakimbiza tu...
[emoji23][emoji23][emoji23]hahaha! Mimi jana uck nilikuwa nimeanza kubetia basket superbet tangu exbet imeondoa payment method basi nilikuwa nina 4K nikatupia weee acha nile za uso dabo dabo duu mpaka usingizi ukaja
leo asubuhi nikasema skubali nikatupia bando nikaweka mechi moja ya basket weeeh! hapa navyo kwambia nimemtembezea kichapo mpaka mkeka mmoja nimewin mpaka sasa hajanitumia hela *****!
Lakini mkuu unafata hii mikeka bob yaani tunaenda sawa wote tunaingiza mpunga kwa pamoja BET inawin???Mkuu umekwiva sana hata wimick huko alipo atakuwa anaappriciate kwa unachokifanya kijana wake, hongera mkuu naona sasa utakuwa unatengeneza mshahara nje ya mshahara.
Lakini mkuu unafata hii mikeka bob yaani tunaenda sawa wote tunaingiza mpunga kwa pamoja BET inawin???
Mkuu mfano kati ya hii mikeka saba iliyotupiwa umu ndani umefata angalau ata mitano maana yote imetoa ela bro!!!Mkuu umekwiva sana hata wimick huko alipo atakuwa anaappriciate kwa unachokifanya kijana wake, hongera mkuu naona sasa utakuwa unatengeneza mshahara nje ya mshahara.
Aaaaaah eti tutasuuza koo[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah man umenichekesha sana bob!!!!tuko pamoja mkuu mambo sio mabaya leo, tutachamba koo pakikucha weekend iwe nzuri
Ila kama unaifata baridi maana kama nane au saba iliyotupiwa umu ndani yote imetoa ela bob so kama uliifata natumai ela ya balimi na supu kesho asubuhi haitokusumbua. Mzee dingi.tuko pamoja mkuu mambo sio mabaya leo, tutachamba koo pakikucha weekend iwe nzuri
Mkuu mfano kati ya hii mikeka saba iliyotupiwa umu ndani umefata angalau ata mitano maana yote imetoa ela bro!!!
Mimi hapa nimebanana na kazi tu ila nataka niibuke benki nikaactivate mambo ya online purchase maana naona hakuna betting company nyingine ya kunishawishi zaidi 1xbet.Umeongea ukweli mtupu broo yaaani hakuna Betting site bora, maridhawa , mujarabu ka 1xbet ivi vikampuni uchwara vya bongo ni wezi na matapeli wapuuzi kabisa yaaani pesa ya kwangu alafu wao wanataka kunipangia matumizi eti wananipangia nibet vip yaaani walivyo wahuni wanaweka opt ambazo kula ni 0.000001probability siwataki ata kuwasikia kama ikishindikana xbet basi nitasubiri mpaka siku watakapo rudi!!!
Daah hii likizo ya lazima waliotupeleka nahisi kufa yani hakika lazima nitimbe bank kuactivate akaunti yangu maana huyu mrusi sioni dalili za kurudisha mobile payments hivi karibunituko pamoja mkuu mambo sio mabaya leo, tutachamba koo pakikucha weekend iwe nzuri
Yaaah mara nyingi naonaga wakija kazini kwetu kufanya promotion ya bidhaa yao basi wanasemaga card zao zinakuwa activated automaticaly kwa ajili ya online transactions mkuuMimi hapa nimebanana na kazi tu ila nataka niibuke benki nikaactivate mambo ya online purchase maana naona hakuna betting company nyingine ya kunishawishi zaidi 1xbet.
Halafu nina swali kidogo kama utakua na mwanga, hawa Equity bank akaunti zao zipo activated tayari na mambo haya ya kulipia online?
Naona kumekucha mkuuYaaah mara nyingi naonaga wakija kazini kwetu kufanya promotion ya bidhaa yao basi wanasemaga card zao zinakuwa activated automaticaly kwa ajili ya online transactions mkuu
Yeah Card ya benki ya online ni option nzuri zaidi ila kwenye swala la makato ndio kichefu chefu yani!Daah hii likizo ya lazima waliotupeleka nahisi kufa yani hakika lazima nitimbe bank kuactivate akaunti yangu maana huyu mrusi sioni dalili za kurudisha mobile payments hivi karibuni
Wanakata sh ngapi?Yeah Card ya benki ya online ni option nzuri zaidi ila kwenye swala la makato ndio kichefu chefu yani!
kuna mdau alisema kwa mastercard ni around 13,500 kama withdraw charges na huruhusiwi kutoa chini ya 100,000 ila kwa paypal kiwango cha kutoa minimum ni 30,000 kwahio hapo utaona pia lazma uwe unafanya serious betting za malaki! Sio za buku buku ukitaka kutumia Card na malipo yake sio instant lazima kuna muda wa kusubiri taratibu za kibenki zifanyike! Mimi nina Visa Card ila sijajaribu ni ya CRDBWanakata sh ngapi?
kaka mimi ni mgeni katika uzi huu naomba kujua hiyo mikeka uliyoshea ni kampuni gan, nataka nianze kukufata. Nimejifunza kitu kwako. Mdogo mdogo ndo mwendo.Ila kama unaifata baridi maana kama nane au saba iliyotupiwa umu ndani yote imetoa ela bob so kama uliifata natumai ela ya balimi na supu kesho asubuhi haitokusumbua. Mzee dingi.