Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pay pal vipi in kubari kutoa nimewahi tumia kulipia
 
Una withdraw vp... Maana mm access ya withdraw sina, wananiambia hadi ni verify account, na usalama wake upo vipi
Akaunt ya skrill lazima uverify... Kuna njia 2 ambazo waweza tumia kuverify

1. Wanakata kiasi fulani cha hela kwe kadi yako zen watairudisha wakisha verify.(ni uhakika wanarudisha)

2. Unatakiwa uwatumie scanned document yoyote kama bill ya maji, umeme, benk statement n.k

Hapo

Hapo wallet yako itakuwa active. Na utaitumia kwe mishe yako yooooote kwa uhuru kabisa... Wapo vizuri sana.
 
Ni kweli kabisa
 
Mkuu nimeona kwenye comments mtandaoni kwamba benki ina uwezo wa kuzuia hela Zako toka Skrill mpaka u-verify source zilipotoka.

So In case 1xbet hawatambuliki Tanzania haiwezi kuleta matatizo kisheria? Manake Tanzania tupo local sana kwenye ulimwengu wa fedha kimataifa.
 
Hakika, ndo maana lazima uverify kwanza.

Nchi yetu ipo nyuma kwa kila kitu kwe ulimwengu huu wa kifedha. Majirani zetu kenya wametupita mbali sana.
 
Nchi yetu itachelewa sana kuendelea
Na jamaa walivyokuwa wapuuzi vitu essential kama hivi vinavyogusa jamii moja kwa moja hawashughuliki navyo kabisa! Ukiimarisha uchumi wa watu wa chini nchi inaweza ku progress haraka sana kuliko kushughulika na miundo mbinu 80% kwenye kila budget! Sijui wachumi wetu wanawaza nini!
 
Kuna kipindi nilishindwa kutoa kutoka kampuni fulani kuja equity benk ilibidi nitumie SWIFT TRANSIFFER lakn walinikata sh 16,000/=
 
In play
 

Attachments

  • Screenshot_20181124-092533.jpeg
    55.5 KB · Views: 29
Wazee naomba kujua kwa urahisi maana ya CHAIN BET,nimebet bila kujua kwa kutumia chainbet nimekuta odds nusu
 
Hasa kwa kipindi hiki cha .... wamezidi sana yaank wanahaha kuangalia watu wanapambanaje kujikomboa. Kuna vikwazo kibao plus haya makampun ya kibongo ya betting sewange sana.
 
Mkuu maswali mawili muhimu kwa Uzoefu wako;

1/ Inachukua muda gani kutoa hela Skrill kwenda Account yako ya benki? Nimeona comments Mitandaoni ni siku 5 za kazi..
Tujiandae kabisa Manake tulizoea mobile payments fasta tu.

2/ Makato Yao yapoje Mfano kutoa na kuweka hela Skrill..Yanavumilika?
 
Kwa uzoefu wangu...

1. Kuanzia siku 2 za kazi na kiendelea
2. Makato yanavumilika sana
 
Kwa uzoefu wangu...

1. Kuanzia siku 2 za kazi na kiendelea
2. Makato yanavumilika sana
Thanks Mkuu..Nitaenda benki ABc nicheki nao next week kama bado mobile payments zitakua hazijarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…