Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


jaribu kuwapgia simu uwaulize inakuaje. Ila meridian wanajtahd
 
Match nane mfano,
A-A, B-B, C-C, D-D, C-C, E-E, H-H, F-F
hapo uki apply formula ya combination unapata 56 combinations
A-A,B-B,C-C,D-D,C-C,
A-A,C-C,D-D,E-E,H-H,
....
...
...
...
....
H-H,G-G,F-F,E-E,C-C

Kwa mpangilio huo lazima ue pesa, tena na faida japo kidogo timu hata match 2 ziki lose,
karibu bet365.com
 
Nimepigwa hiyo hiyo double chance kaka mechi mbili tuuu

pole kaka, wakati mwingine unafululiza kuwapiga, wakati mwingine wanafululiza kukupiga wewe, na wakati mwingine inabidi ukwende likizo kidogo.....!!! But kuacha hapana, haiwezekani, teh teh teh !
 
wakuu zangu uhakika kwa za leo,

sochaux - psg , lose , 2

nec- tewente, x2,

hercles-ajax, x2

lyon-bastia , win, 1

feyernood-canbur, win ,1

fanabarche-Riztepor , win , 1

lile-bordeux, 1x

vitese-go ahead eagles - win , 1

llagoserlera-constancia, win , 1 - spain segunda b group 3

tromso-hamakm, win , 1 - dernmark div 2

celtic - investe , win,1

cska moksa - rubin kazan

shandong- henan - win, 1 --china super league

sunderland-cardiff, 1x

-----sharing is caring

note; ukikopi zozote zile na ukapiga mpunga usinisahau ,
:flypig:then tigo pesa me baadaye 0714345958 teh teh teh :flypig: msiniponikumbuka sitaweka tena:smile:
 
Mkeka wako uko poa sana ila wengine twauguza maumivu hapa jana tumeshinda hela tamaa ikatusababisha tukacheza online na mtaji wote dakika ya 92 bao zikarudishwa ikawa ni hasara takatifu sasa tupo tu twauguza uguza na kutafuta tena hela
 
Mkeka wako uko poa sana ila wengine twauguza maumivu hapa jana tumeshinda hela tamaa ikatusababisha tukacheza online na mtaji wote dakika ya 92 bao zikarudishwa ikawa ni hasara takatifu sasa tupo tu twauguza uguza na kutafuta tena hela

Kaka mechi gani hiyo iliyokupunyua pesa zote.?
Mimi nakomaa na Live ya tenis aisee, So far mpaka sasa mambo yako freshi kiasi chake. Cheki trend hiyo hapo chini kwa siku ya leo. Imebidi nijifunze tenis kwa ajili ya kazi hii tuu. Hhahahahahahhhhahah
 

hahahah mi leo naweka mkeka wa kigum. Helas verona,sundland,augsburg,bilbao na anzi makachkala
 
hahahaaa..! kaka faida mojawapo ya kubeti ni kujua michezo mbalimbali na kanuni zote.
kweli kaka , ila basketball huwa sielewi wanaposema sijui game ku-spread na zile odds za +1.8 au -1.8
 
lazima upigwe ban teh teh ,
kama vile uvumi wa uwoongo mtaani ulioenea eti dk Lick na Shafii wamepigwa ban kubet na mhindi..... watu kwa waooongo teh teh

aah wapi waongo hao kubet hakuna ujanja ujanja wa kucheza na maneno hapa ni kuweka mzigo tu
 
Kiukweli Xyz trend yako iko poa sana aisee usije weka dau lote.
Mimi hata timu nimeisahau maana tokea jana sijafungua hata hiyo web yao baada ya kuliwa mpunga wangu
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli Xyz trend yako iko poa sana aisee usije weka dau lote.
Mimi hata timu nimeisahau maana tokea jana sijafungua hata hiyo web yao baada ya kuliwa mpunga wangu


Haahahahaa, kaka mimi natumia principle ya kuweka 2/5 ya akaunti ilokuwepo wakati huo. Nikibamizwa mara 2 mfululizo naghairi kucheza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…