Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #1,721
Mimi nipo online hapa nacheza zikiwa karibu na mwisho au kama timu imeongoza goals nyingi
Hawa meridian kiukweli naona multibet zao za selection ni wizi mtupu maana nashangaa nilichagua timu 8 afu nikaweka 5/8 sasa timu mbili zikapoteza ikawa imekula kwangu tayari
jaribu kuwapgia simu uwaulize inakuaje. Ila meridian wanajtahd