Acha roho ya korosho!!!ahahaha washazoe kuliwa awo mkuu waache tu waendelee kuliwa
Ya supu inatosha kwa leo,,kati ya game 4, win 3 loss 1.. Nafunga duka rasmi kwa leoBoooom!!
AiseeeeView attachment 975079
Kwenye mchezo gani, soka au basket?Hivi wakiandika handcap wanamaanisha nini wadau
Kwenye mchezo gani, soka au basket?
kama una ambiwa usikii sisi tufanyej? unataka milion kwa buku!!niambie biashara gan iyo unaweza kufanya ukapata iyo milion kwa buku yako?Acha roho ya korosho!!!
Endelea kutoa ushauri tuuuu mpaka tutaelewa![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]kama una ambiwa usikii sisi tufanyej? unataka milion kwa buku!!niambie biashara gan iyo unaweza kufanya ukapata iyo milion kwa buku yako?
Kwenye soka handcap maanake either unaiongezea au kuipunguzia timu fulani goli na hata baada ya kufanya hivyo timu hiyo iibuke mshindi..Kwenye soccer mkuu, pia naomba unifundishe basket niamie huko mkuu, huku kwenye soccer naona pagumu sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Endelea kutoa ushauri tuuuu mpaka tutaelewa![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hao wahispania wa mwisho nina mashaka nao
Kwenye soka handcap maanake either unaiongezea au kuipunguzia timu fulani goli na hata baada ya kufanya hivyo timu hiyo iibuke mshindi..
Pitia hapo chiniView attachment 975084
Kiukweli cc wabetaji enye titaji tudogo ni shida sana. Maana tunawema kweli ka buku watska laki!! Ila ka mtaji upo upo na yamaa unaweka mbali ahhh hapo lazima sherehe!!! Ila ndo hivyo tumitaji sasa ni tatzo!!kama una ambiwa usikii sisi tufanyej? unataka milion kwa buku!!niambie biashara gan iyo unaweza kufanya ukapata iyo milion kwa buku yako?
Daaah basket ni darasa refu inategemea unataka kubet option gani. Ila kwa ushauri anza kwa direct win mara nyingi zinatoa,,huko kwenye handcap panahitaji utulivu sana na kujua ligi za timu husika lasivyo utachezea vichapo dailyPoa mkuu nashukuru nimeelewa, naomba na unifundishe kwenye basket jins ya kubet maana nataka niamie huko
Jan option ya Over 0.5 imesepaa na pesa yangu vipi hapo nayo ni tamaa???Kinachosumbua watu wengi humu mpaka kulia kila sku ni ktu kinachoitwa TAMAA .mtu anataka aweke buku achukue laki hyo hamnaga Kabsaa kanji syo boy akiasi hicho lakin ukiwa na lak utake elfu hamsini nakuahakikikishia utakula kila saaa hyo Nina uhakika nayo 100% lakn syo direct Winn lazma ucheze option ya magoli.
Ww nae sikiliza ushauri!! Hayo matimu umeweka mengi sana!! Chagua moja la uhakika litilie mihela one mifaida!!! Shauri yko mm nimeanza kufuata ushauri cweki mitimu mingi!!!
Daaah basket ni darasa refu inategemea unataka kubet option gani. Ila kwa ushauri anza kwa direct win mara nyingi zinatoa,,huko kwenye handcap panahitaji utulivu sana na kujua ligi za timu husika lasivyo utachezea vichapo daily
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ww nae sikiliza ushauri!! Hayo matimu umeweka mengi sana!! Chagua moja la uhakika litilie mihela one mifaida!!! Shauri yko mm nimeanza kufuata ushauri cweki mitimu mingi!!!
Kila lakheri, jitahidi kuingia humu asbh mapema saa 12 au saa 1 hutakosa ya supuPoa kudi kudi ngoja nianze mdogo mdogo
Kila lakheri, jitahidi kuingia humu asbh mapema saa 12 au saa 1 hutakosa ya supu
Handcap kwa tafsiri halisi ni kitu kilemavu. Kwenye betting inatumika kuwapa team kibonde ushindi flani usio halisi kama assumption unawaongezea point ama magoli. Kama matokeo yakienda sawa na hio assumption unakuwa ume win bets. Vile vile kwa timu imara inaondolewa ushindi kwa style ya kupunguziwa point au magoli, wakiweza kuendela kupata ushindi ilihali umewapunguzia magoli basi una win bets.Hivi wakiandika handcap wanamaanisha nini wadau