Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzee baba kidi kudi sasa naomba uanze kinifundsha mambo ya basket maana hela ipo. Kama ulivyo nambia ligi ya USA ndo balaa. Naomba uanxe kutupa darsa la kubeti basket

Sent using Jamii Forums mobile app
NBA, China usipende sana kucheza under labda kama hiyo under ina odds ya 1.03[emoji16][emoji16]... Japani huko ligi nyingine ni mara chache sana kuzidi 48. Huko kucheza under ni salama zaidi kuliko hizo ligi mbili tajwa. Pia uwe unachek kwanza kwota ya 1 imeendaje, kama anayepewa nafas ya ushindi wa jumla,kapigwa kwota ya kwanza basi bila shaka kwota ya pili itakua ngumu kwani atakaza kurudi mchezoni, kwahiyo option ya under inakua ni risk kidogo hapo inabidi utafute over yenye angalau 1.5+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa hints hizo. Ila inabid darasa zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Naombeni Namba za PREMIER BET customer care nimekosea reference namba mpunga wangu haujangia sielewi msaada siwapat whatsapp hawajibu wala Email naomben namba zao
Hiyo hela itarudshwa na m-pesa usiwe na presha. Mwez wa nne nilieka 450000 huko na nilikosea namba moja. Ckupiga simu wala kuwatafuta na wakairudsha baada ya siku 3 mana nkua naelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fungua account kwa hii site ..localbitcoin.com.. kisha nunua bitcoin kwa mpesa au tigo pesa kwa wabongo..... then utawekewa kwa waleti yako.... ndio utahamisha toka kwenye wallet yako kwenda 1xbet.......na kuwithdrow pia utahamisha toka 1xbet kwenda kwenye wallet yako yyt ya crypto currencies... then utaziuza kwa kupitia localbitcoins.com
Hivi Ngoja niulize inamaana watu wote humu hakuna wanaoendelea kutumia 1xbet.? Na wa naweza Ku deposit na Ku withdrawn bila Shida wakatupa mbinu na Sisi tuwe kama wao.?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nipigie 0765016525 au 0676800839

Sent using Jamii Forums mobile app
 
At last solution imepatikana,thanks alot @oneonly.Dahhhh! yaani takriban miezi 2 imepita, 1xbet nakula kwa macho.Sasa hivi niko kwenye process ya kukamilisha nijidai kwenye 1xbet .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Kanjiby nimemnyoosha....Huwa namsumbua sana kwenye single bet. Leo nimempiga nne bila jana nilimpiga mbili moja aliniotea man city mwishoni niliweka over 4.5 akanilamba ila leo kapigwa kwelikweli kuanzia kule Australia nikamleta Israel nikammalizia na Algeria now nausubiria tena mpunga wa Korea na Saudia pamoja na Qatar na Iran malaki njenje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…