ππππNorwich na leeds wote hawa wanaongoza ligi..na wikiendi iliyopita wote walifungwa..na leo pia wote wameshapigwa piapu..sasa kama sio ushoga huu ni nini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Usithubutu ku bet kule champions na league 1 kisha nikampa mtu ushindi kama yupo ugenini hata kama anaongoza ligi! Kule kumejaa machoko watupu!Norwich na leeds wote hawa wanaongoza ligi..na wikiendi iliyopita wote walifungwa..na leo pia wote wameshapigwa piapu..sasa kama sio ushoga huu ni nini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule hakufai Mkuu unaweza kukuta timu inaongoza Ligi ina point labda 65 anacheza na timu yenye point 20 mwisho wa mechi matokeo yatakayo token hutaaminiUsithubutu ku bet kule champions na league 1 kisha nikampa mtu ushindi kama yupo ugenini hata kama anaongoza ligi! Kule kumejaa machoko watupu!
Hiyo ligi ya Championship na Italia series B sijui C usijaribu kabisaa... aneongoza Ligi kwa point 40 anapigwa na wa mwisho mwenye point 5...Kule hakufai Mkuu unaweza kukuta timu inaongoza Ligi ina point labda 65 anacheza na timu yenye point 20 mwisho wa mechi matokeo yatakayo token hutaamini
Pole Mzee Baba!
Dah pole aisee..lakini hope kwa mipango yako itarudi..soon or later,never give up!
Dah pole aisee..lakini hope kwa mipango yako itarudi..soon or later,never give up!