Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimefunga na kufungua mwaka vibaya kwenye betting....'never give up the fight'
 
Attachments

  • IMG_20190101_203540.jpg
    82.7 KB · Views: 32
Reactions: bul
hawa betpawa nao kimeo kwe kweli yaan leo basket ya china hawakuweka kabisa wakati game zipo kibao
Nilitaka kujiunga kwa ajili ya kikapu. Dah! Siweki salio kwa sasa.
Huko 1XBet kwenye game kibao, kufanya malipo ni mpaka mtu ukomae kweli
 
Katika mihangaiko yako ya kila siku, ukipata hela we nunua hii app, cjanunua bado mm lakinView attachment 983299

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro hakuna mwenye uhakika wa matokeo,nao wanatumia statistics kama wewe..cha msingi kuwa na nidhamu bet kwenye timu au mechi au ligi ambayo una data za kutosha..mfano leo km mfuatiliajiulikuwa asilimia zaidi 90 kuwa arsenal anashinda hata hao wanaotoa tips hakuna aliyemuua arsenal..usipoteze helo bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…