Mkuu ni hatari ............ Imeshanitokea hii sio zaidi ya Mara mbili or tatu nilikaribia kulia Timu ina point 9 inamtandika timu inaongoza Ligi kwa point 55 tena nyumbani kwake Goli 4 Huko Championship, League One ,League Two ,English National League nk HAKUFAI HAKUFAI Huko timu kuongoza Ligi sio sababu Mfano ni LEEDS United yaliyomkuta leo.
Huko sio pazur kiukweli..Mkuu ni hatari ............ Imeshanitokea hii sio zaidi ya Mara mbili or tatu nilikaribia kulia Timu ina point 9 inamtandika timu inaongoza Ligi kwa point 55 tena nyumbani kwake Goli 4 Huko Championship, League One ,League Two ,English National League nk HAKUFAI HAKUFAI Huko timu kuongoza Ligi sio sababu Mfano ni LEEDS United yaliyomkuta leo.
Mkuu nimeshajisajili naanzia wapi kuingiza hela nakutuma 1xbet msaadawazee wa bitcoin fuata hapa ujisajili uweze kudeposit 1xbet
n1cha.bitcoinwallet.com
n1cha.bitcoinwallet.com/api
Hii app gani bro tusaidie tuijueHawa jamaa wananipiga chenga hawa, Huu mkeka nili screenshot kabsaa, shida nilisahau kuufatliaView attachment 983254
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii app inaitwa Betswall, changamoto yake ni kuwa, mikeka inapostiwa ming mana ni kama grup vile la wasap kwaajili ya kubet tu na hao watu wapo nchi mbalimbal duniani,huez chat. Kwahy mkeka unaouna upo vizur ndy unachagua na kila dakika watu wanapost. Kati ya hiyo mikeka yote, ipp inayotiki. So changamoto ni kujua upi uta tiki, hakuna mkeka specific.Hii app gani bro tusaidie tuijue
Mkuu kanji ni jirani yako haiwezekani 0-0 nkose GG Hahaha.Msaudia anakusalimu mkuu.
5+ Odds za bureeee..2019
View attachment 983505
unatakiwa uvizie mpaka wanafikia dakika ya tano ndo unatega ndoano, kama wamefika dakika ya 5 na bado hawajifikia 20 points kwa ligi yenye dakika 10 kwa quarter hapo unatakiwa kucheza under 42.5 na kwa ligi ya dakika 12 cheza under 52.5, na kama wamefika dakika ya tano wamefikia points 20 au zaidi hapo unatakiwa kucheza over 40.5 kwa ligi za dakika 10 na over 50.5 kwa ligi za dakika 12, vilevile kwa ligi kama ya NBA wakati mwingine kucheza under inakuwaga ngumu sana kwa sababu jamaa wale huwa hawatabiriki. ila kwa hii strategy ni mara chache sana kukuchania mkeka asilimia 95 unakuwa uko salama.Basket ya ajabu timu inapiga point nyingi 1 hadi set ya 3 ys nne inashindwa kabisa na hapo umeweka over
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo number goals in a group inakuaje ufafanuzi kidogo
2 or 3 , (goal 2 adi 3) zikitoa goal 1 lost , goal 4 lost so....to be safe cheza Under 4.5 ama Over 1.5 goalshiyo number goals in a group inakuaje ufafanuzi kidogo
imeeleweka mkuu2 or 3 , (goal 2 adi 3) zikitoa goal 1 lost , goal 4 lost so....to be safe cheza Under 4.5 ama Over 1.5 goals