super black
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 566
- 540
Nahisi watakuwa wanajutia sanaaa[emoji4]Hawajanikumbuka kweli [emoji23]
1xbet hawajawahi fika hapa tzWewe vp nilijoin 1xbet toka wameingia tu tz wewe unasema mwezi mmoja au minane nyuma na tatizo kubwa la 1xbet ma agent wao wa bongo hawana huduma online ni lazima uwasilinae nao direct in Moscow
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa soma tena1xbet hawajawahi fika hapa tz
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Umekosea password au username,alafu kwann usiingilie kupitia chrome ili usev password zako? Kuna mtu nilimfungulia bitcoin wallet ikawa Kama wewe apo tukarudia vizuri ikawa poa
Umekosea password au username,alafu kwann usiingilie kupitia chrome ili usev password zako? Kuna mtu nilimfungulia bitcoin wallet ikawa Kama wewe apo tukarudia vizuri ikawa poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia laptop au?Mkuu hiyo chini ni akaunti yangu lakini nilienda upande wa kununua bitcoin kwa seller si kuna sehemu ya kulog in najaza taarifa zile zile inagomaView attachment 985455
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa huu muonekano alafu umeshaiverify email waliyokutumia?Mkuu hiyo chini ni akaunti yangu lakini nilienda upande wa kununua bitcoin kwa seller si kuna sehemu ya kulog in najaza taarifa zile zile inagomaView attachment 985455
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua account mpya kupitia chrome uondokane na usumbufu wa kusahau password zako
ila hawa jamaa ni noma pamoja na kuweka option 3 kwenye game moja lkn bado tunashindwa kula.Kupatia Jackpot yao ni sawa na kutoka nyumbani ukitegemea kuokota burungutu la hela njiani....My dear never ever!!
Poa mkuu ngoja nijaribu hivyoFungua account mpya kupitia chrome uondokane na usumbufu wa kusahau password zako
Sent using Jamii Forums mobile app