Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bado Chelsea anapita na kengine! Muwekee Arsenal over 2.5 hutojuta... Mimi niliwawekea spurs Everton na Arsenal now namsubiria Arsenal nivute 1.5M naamini naichukua bila shughuli
Mkuu chelsea sikumgusa kabisa yani bado sijamsahau that day ya bila bila, kila la heri mkuu umlize kanji

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ndio Mana huwa tushaea kile tunachoona kinaeza toa hela ndo Mana nikasema ukienda PM huons Kama utapata shida Sana kujibu kila mtu ila ukiweka humu unakua umemaliza kila kitu na watu wanasubiri kuona n kweli au siokweli.

Nauheshimu muda wako Sana huo n upande wangu wa akili ulifikiria hvyo nasio kwa ubaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…