Daah aisee...Kama aliuzaa itakuwa kaumiaa sanaaa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]Yawezekana. Sisi tunampa hongera za buree tu mtu kakaa kimya. Labda kauza kwa hasara huyo
Daah aisee...Kama aliuzaa itakuwa kaumiaa sanaaa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa una utaufuta usingizi kwa tabu una geuka kitandani mara ujickie kiu mara njaa naijua iyo hali mkuuUliyeweka million nakuombea ushinde. Niliwahi kuweka single bet 965,000 ikaliwa najua nilivyojisikia. Mwili unaweweseka. Usiku usingizi hauji. Ni hataree sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa una utaufuta usingizi kwa tabu una geuka kitandani mara ujickie kiu mara njaa naijua iyo hali mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kwanza wapo Kwenye group stage, kwahiyo bado mechi zipo nyingi. Sijafuatilia nikajua watamaliza liniSorry mkuu wabrazil under 20 ligi yao inaisha lini maana kwa macho ya haraka naona pesa nje nje..
Nahisi yule jamaa alieweka 1M aliuza mkeka baada ya Burnley kuchelewa kufunga goal. No wonder hajaweka screenshot ya won kama mihemuko yetu ilivyo tukishinda Nahisi ivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Inataka watu wenye mioyo ya kujilipua, ngozi ngumu. Ila watu walimtisha sana humu ndani. AiseeeNa atakuwa kauza kwa hasara kubwa sana...
Pole yake, sometimes hii kazi inahitaji uvumilivu wa hali ya juu..
Ndio kwanza wapo Kwenye group stage, kwahiyo bado mechi zipo nyingi. Sijafuatilia nikajua watamaliza lini
Sent using Jamii Forums mobile app
Inataka watu wenye mioyo ya kujilipua, ngozi ngumu. Ila watu walimtisha sana humu ndani. Aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lako limeitwa dirishani kachukue 1.5m yko bwana Arsenal amemaliza kibarua chakoBado Chelsea anapita na kengine! Muwekee Arsenal over 2.5 hutojuta... Mimi niliwawekea spurs Everton na Arsenal now namsubiria Arsenal nivute 1.5M naamini naichukua bila shughuli
Mkuu niliweka elfu 82773 imeleta 270k. Risk taker.Kama unaweza ku iafford hiyo risky weka mkuu, ila 30,000 ingekuwa vizuri kidogo kuliko 100,000
Sent using Jamii Forums mobile app