Acha udwanzi hujalipia huo mkekaHuu ndio mkeka wenyewe.View attachment 1009445
Sasa ningelipiaje kabla ya wadau kunipa go ahead [emoji6]Acha udwanzi hujalipia huo mkeka
App ipi nzuri mkuu yaan mbet wananila mpaka najiuliza duuuh sielewi jana nimemwua juve celsea nikampa evaton yes ila Liver kaniua nilimpa OVER mpaka nahisi hawa jamaa wachawiPia nakushauri achana na M-bet hao ni chuma ulete.
Ushauri mzuri sana huu mkuu,ngoja nije PM kamandaKwanza Kabisa Achana na M bet coz ukishinda pesa inachelewa kufika , option chache Pia unakatwa Kodi 20% kwa kila shilingi utakayokula! Tumia Parimatch, Princessbet, Betpawa Hapo hautakatwa kodi na Option za kumwaga na pesa inaingia haraka! Kwa ushauri wangu anza Na Parimatch ingia google andika Parimatch itakuja utajiunga! Ukishajiunga nakushauri Cheza Option mbili tu Over 0.5 na Over 1.5 yani Mechi nzima lipatikane goli 1 tu (over 0.5) , goli mbili kwa over 1.5 hii cheza kwa mechi timu kubwa tu zikiwa zinacheza na timu ndogo mfano Man U vs Cardiff hvyo yaani zikusanye jumla upate odd 2 unaweka Elfu 5! Usiwe na Tamaa hata ukila Mara 5 mfululizo usipandishe hiyo stake ya Buku 5 mpaka urudishe elfu 50 yako ndo utapanda kiwango utatia 10k kwa maelezo zaidi njoo pm
Sent from my iPhone using JamiiForums
jamaa chenga sana eti 100% teh teh teh[emoji3][emoji3][emoji3] kweli ni 100% safe!!
Mkuu Million dollars umesema kweli yote, kuna watu wanashindwa kubadilisha strategy wanabaki kupata maumivu kila siku.
3.5 ov kabisa
Ukienda kichwa kichwa unakula za uso.. [emoji3][emoji3][emoji3]jamaa chenga sana eti 100% teh teh teh
eti sure wakati jana tulikuwa watu tunaomba juve apate goli moja afu mtu anasema fixed match today juve win kudadeqUkienda kichwa kichwa unakula za uso.. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo tujiulize hapo! [emoji3][emoji3][emoji3]..eti sure wakati jana tulikuwa watu tunaomba juve apate goli moja afu mtu anasema fixed match today juve win kudadeq
Tumia futbol24 utaipenda!