Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Hongera.. ila mkuu unaonekana una roho ngumu kweli kweli..kubefi option ya UNDER!! tena kweli magoli!! Aah mimi siwezi aisee..
Labda unipe shule kidogo, unatumia vigezo gani mpaka unabeti hivi wakati odds bado zipo nzuri hivi?
Mimi naona ni bora kusubiri goli liingie nyavuni kuliko kuomba goli lisipatikane.
vip hao bettin wako poa na option zao na jinsi ya kujisajili ni vip?Asante sana Internal
Asante sana Internal
Asante sana @intetnal
Rasmi sasa nimekuwa 1×bet na bettin
Sent using Jamii Forums mobile app
Viatu vya Samaki bado sijaelewa hatua za kufanya sbb tupo na mitandao yetu na sio safaricomSafaricom
Tunatofautiana sana mkuu.. cha msingi bet slips zirudi na pesa tu.Mi hela nyingi huwa napatia kwa UNDER kuliko over mkuu, na hakuna option ninayoiogopa kama Over 2.5 au GG
Hii sio Bahati Bali ni namna unavyozijua team husika
Kwamba hii ina draw hii inafungwa na hii inashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
1x hawaezi kudhulum Pesa yako hata kidogo sema tu Ukweli ni kuwa Ukiwapiga hela nyingi au Option fulani Mfululizo basi Wanaanza kukuhofia na Usumbufu Mwingi Sana Ma Documents na Style za Ajabu Ajabu za Kupiga Picha Ukiwa Umeshikilia hizo documents ila Mwisho wa yooote Mpunga wako lazima Wakupe yanNa vipi ukaamua kufuata taratibu na matakwa yao bado wanaweza kukuzuia kutoa pesa ikiwa wamejiridhisha kwa kuverify vitu walivyovihitaj??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako vizuti sana mkuuvip hao bettin wako poa na option zao na jinsi ya kujisajili ni vip?
ni ya kenya
Tafuta line ya safaricom.Viatu vya Samaki bado sijaelewa hatua za kufanya sbb tupo na mitandao yetu na sio safaricom
Ukiwa na Safarcom unadeposit kwa njia ya Mpesa kenya maney kawaida tu.Viatu vya Samaki bado sijaelewa hatua za kufanya sbb tupo na mitandao yetu na sio safaricom
Sawa mkuu nimekupataTafuta line ya safaricom.
Mkuu leo Iefa naangalia kwa macho tu sio kwa mkeka/betslipTafuta line ya safaricom.
Sawa mkuu internal, lkn hapa bongo napataje line ya safarcom?Ukiwa na Safarcom unadeposit kwa njia ya Mpesa kenya maney kawaida tu.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Mimi toka jana nimekaa kama mtazamaji.Mkuu leo Iefa naangalia kwa macho tu sio kwa mkeka/betslip
Hapo Sundown ndio nimempa Draw No bet
Nimeshajilipua
Uo sio wizi ni taratibu fasaha kabisa kwa issue za pesa, ni hatari sana kutoa mzigo mkubwa namna iyo watu hawakujui, What if ume hack account na sio mhusika?Hii ndio sababu hata bank tu kikawaida kuna limit ya kiasi cha kutoa pesa kwa ATM card(Kifaa utumiacho kutoa pasipo watumishi wa bank kukuona)na kiasi unachotaka kutoa kikizidi na kua mamilioni mengi utaambia uingie ndani tena kwenye BULK TELLER coz ni risky kwa bank kuruhusu pesa nyingi itoke tu bila kujua nani anatoa kwa wakati huo. Hakuna wizi sema wengi wanalalama tu ukifatilia wanakosa kutimiza vigezo vya kutoa. Ndio maana 1xbet hata ukishinda ile Jackpot yao unatakiwa kuifata ukachukue live, 1Xbet ni kampuni kubwa sana ULIMWENGUNI yani sio duniani tu hawawezi chafua jina lao kwa kukuibia. Hizo story za mitandaoni zipo tu1x hawaezi kudhulum Pesa yako hata kidogo sema tu Ukweli ni kuwa Ukiwapiga hela nyingi au Option fulani Mfululizo basi Wanaanza kukuhofia na Usumbufu Mwingi Sana Ma Documents na Style za Ajabu Ajabu za Kupiga Picha Ukiwa Umeshikilia hizo documents ila Mwisho wa yooote Mpunga wako lazima Wakupe yan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umemaliza mkuu...kwahyo kumbe inshu ni katika kujiridhisha hasa kwenye kutoa viwango vikubwa vya pesa.Uo sio wizi ni taratibu fasaha kabisa kwa issue za pesa, ni hatari sana kutoa mzigo mkubwa namna iyo watu hawakujui, What if ume hack account na sio mhusika?Hakuna wizi sema wengi wanalalama tu ukifatilia wanakosa kutimiza vigezo. Ndio maana hata ukishinda ile Jackpot unatakiwa kuifata ukachukue live, 1Xbet ni kampuni kubwa sana ULIMWENGUNI yani sio duniani hawawezi chafua jina lao kwa kukuibia
Mkuu wanakudhulumu vizuri kwa visingizio vya uongo na maamuzi yao ni final1x hawaezi kudhulum Pesa yako hata kidogo sema tu Ukweli ni kuwa Ukiwapiga hela nyingi au Option fulani Mfululizo basi Wanaanza kukuhofia na Usumbufu Mwingi Sana Ma Documents na Style za Ajabu Ajabu za Kupiga Picha Ukiwa Umeshikilia hizo documents ila Mwisho wa yooote Mpunga wako lazima Wakupe yan
Sent using Jamii Forums mobile app