Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu naona unaua mbu kwa bunduki.
 
Masikini mbayuwayu kuna mkeka wa timu 4 wa kuanzia weekend aliuweka akamwamini Madrid sasa naona kazima na data....umasikini huu..tentententente

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakukaribisha uje kuzindua, wewe unafikiri wote tunapoteza muda humu kama wewe.
Mkuu, Mnafanya kosa sana kukimbizana na MWENDAWAZIMU...Sio lazima mumjibu nyie kaeni kimya endeleeni na mambo yenu akimaliza kuongea mwenyewe ataondoka. Wamekuja wengi sana humu kama yeye afanyavyo ila kwasasa hawaji tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…