Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu mayombo umebahatika sana, umefungua msimu vyema. Msimu huu inaonekana ni wa neema. Nimepanga naweka mkeka nondo wa timu za uhakika mwanzoni mwa ligi. Nauhakika timu zangu za nguvu hazitoniangusha.

Asante sana xyz123 nafuraha ya hajabu wameshakula elfu 30,000 yangu nilisema itarudi tu
 
Last edited by a moderator:
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wazee wenzangu, nimejaribu bahati nikabahatika, meridian bet online jana wameweka mechi nyingi sana online za ligi mbalimbali duniani pamoja na international friendly matches, nilichofanya nikachagua timu iliyoko nyumbani ata kama siijuwi lakini iliyopewa odds ndogo lakini timu pinzani imepewa odds kubwa, kwaiyo nilichagua odds kuanzia 9.1 kwenda juu............. hii inamaana gani timu iliyopewa odds kubwa hivyo kuanzia 9.1 kwenda juu kushinda nivigumu sana, nikawa nazipa zile za nyumbani tu, nikachagua timu 23 na zote zikashinda, niliweka 5000 nimeondoka na 780,820 nafuraha sana wandugu, na hapo M-BET nimeshawapiga kama 60,000 niliweka 5000 andybird314 Rockcity native rahim_baharia :majani7::majani7::msela::msela::cheer2::cheer2::welcome::bump2::bump2::bump2:

Daaaaah ndugu we ni noma sana kweli bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi, mie nimetulia kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Wandugu
mm mgeni ndo naataka kuanza ku beti but cjawahi na sijui pa kuanzia, bt online ndo ningependa nianzie so msaada wenu ndugu
 
Wandugu
mm mgeni ndo naataka kuanza ku beti but cjawahi na sijui pa kuanzia, bt online ndo ningependa nianzie so msaada wenu ndugu

Jaribu pitia thread kuanzia mwanzoni.
Wapo meridian,iplay8casino,bet365,mbet etc ni wewe tu pitia hapa utaelewa vizuri. Onyo usibet hela ya ada
 
Kabla hujadeposit au kuwithdraw kwa Mpesa kumbuka kuweka namba yako ya voda inayofanana na ile ya kwenye meridian account mfano 0754abcdef
Hii itakusaidia.
Namba za kampuni ya meridian ni 170066
Reference iwe jina lako kama linavyotokea kwenye account yako ya meridian.
Taratibu za kuweka ni kama za kulipia ticket za ndege kwa mpesa etc.
Kutoa pesa kwa Mpesa hapo unaenda kwenye account yako ya meridian afu withdraw unachagua mpesa basi.
Hela ukiweka kwa mpesa inaweza chukua hadi masaa mawili kuingia, kutoa sijawahi jaribu maaana hizi timu mmmmmmmh
 
Back
Top Bottom