HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Umewekaje mkeka kwa fiorentina? naona ni 0-1
Mkuuu nimempa yule Lugano over 0.5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewekaje mkeka kwa fiorentina? naona ni 0-1
Wazee wenzangu mimi hali ynagu ni mbaya sana, ila hongereni kwa nyie mlio vuna
Mkeka huu nmeuweka kbs wa w/end ijayo ligi zikianza elf 2 inaweza zalisha laki 6
Asante sana mkuu nishajiwekea 105000 kwa online.
Mkeka huu nmeuweka kbs wa w/end ijayo ligi zikianza elf 2 inaweza zalisha laki 6
hii option ya one week before unaitafuta vipi meridian? hii nzuri sanaaaaa
Mkeka huu nmeuweka kbs wa w/end ijayo ligi zikianza elf 2 inaweza zalisha laki 6
Mkuu Man City, Man U, Barca watakuharibia siku usiwaweke kabisa
Madrid ndio siwaweki ila hao hapo juu wote wapo
Madrid ndio siwaweki ila hao hapo juu wote wapo
Mimi siku zote naamini Chelsea lazima atashinda
Mm naamini arsnl hawezi kumfunga city hana washqmbuliaji nw...man u atamfunga qpr cz majembe kaleta nw watabadilika
mechi ya italy vs Serbia U 21 inaanza saangapi?
Hiyo mechi yaweza kuwa draw.
Kuna hizi Under 21 Euro qualification zina magoli mengi sana hadi 8-1 timu zinatupia sana kule yaani mimi sasa ni mzee wa over 0.5