Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo app ya meridian betting inaitwaje mkuu

Meridian bed, iko play store lakini inasumbua sana niliiweka ikabidi niitoe tu iko slow sana, tumia browser ya kawaida kwenye simu yako.
 
Am out ngoja nisave hela iliyobakia maana nitalia
 
mkuu fafanua iyo virtual football inachezwaje? naona umepiga pesa nyingi uko..... kambi popote

Mzee virtual football ni zile game za fifa za kwenye cd wanazocheza vijana mtaan sasa uku kwenye kubet wenyewe wanatengeneza programm zao za mech kama zile na wanaweka na odds kama vile real games vile
 
Mzee virtual football ni zile game za fifa za kwenye cd wanazocheza vijana mtaan sasa uku kwenye kubet wenyewe wanatengeneza programm zao za mech kama zile na wanaweka na odds kama vile real games vile[/Q
mkeka wangu umeshanika ila kuanza kubet na kupigwa za usoo duh ,
 
Hizo ndo zangu mkuu, mie napiga mpaka fouls ngapi, au mipira ya kurusha mingapi, hahahaha

yani kwa hali ya kawaida au kiwastani huwa ina-range kwnye ngapi

Hahaha mkuu unataka jikita??? Mfano wanakupa odds za timu gani kufanya fouls nyingi, lets say Uruguay ambao wanajulikana kwa kupiga rafu wanacheza na brazil, so watasema Uruguay watapiga rafu chini ya 15 kwa odds ya 5/1 , hapo wameweka odds nyingi kwa sababu reality Uruguay wanatarajiwa piga rafu zaidi ya 15,
 
Jukwaa naona limepooza. Inadhihirisha hali si shwari kabisa
 
Hahaha mkuu unataka jikita??? Mfano wanakupa odds za timu gani kufanya fouls nyingi, lets say Uruguay ambao wanajulikana kwa kupiga rafu wanacheza na brazil, so watasema Uruguay watapiga rafu chini ya 15 kwa odds ya 5/1 , hapo wameweka odds nyingi kwa sababu reality Uruguay wanatarajiwa piga rafu zaidi ya 15,

Mzaz hyo unachezeaga kampun gan mana hzo market cjawah ziona ladbrokes
 
Mkuu ebu tupe siri ya kushinda hapo VFL unatumia options zipi?

Naona kuna change ya strategy katika every 4 to six hrs nataka niweke kwa writings ili kila mtu aweze kubet mwenyewe sababu nikiweka hapa mikeka inawahi kucheza na hakuna live play.

Kila game ni kama 2 minutes, vuta subira kidogo
 
Tunasubir mzaz mana jamaa washatupasua sanaa asee
 
Nikitaka kuangalia mkeka wangu niliobet meridian online naangalizia wapi ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nikitaka kuangalia mkeka wangu niliobet meridian online naangalizia wapi ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

-My account
-Transaction history
-Search [Hakikisha umeweka tarehe ambayo uliweka mkeka wako then bonyeza search]
 
Je wanachukua muda gani kuingiza hela kama umeshinda ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom