Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  • 10pts @ 11.75/1 on Barnet v Torquay (OVER 2.5 GOALS) England Conference Premier 8.00 PM, Bury (TO WIN EITHER HALF) Johnstone's Paint Trophy 7.45 PM, Dundee Utd U20 v Motherwell U20 (OVER 2.5 GOALS) Scotland Premier U20 League 6.00 PM, Al Salt v Sama Al Sarhan (UNDER 2.5 GOALS) Jordan Division One 12.30 PM, Aleshkert II (WIN) Armenia First League11.00 AM & Al Shabab Al Arabi v Al Jazira SC (OVER 2.5 GOALS) UAE Cup 3.30 PM

Game hii ya "Al Salt v Sama Al Sarhan" iko halftime na matokeo ni 0-1. Ngoja tuone mambo yanaendaje, leo nina uhakika wa kupiga hela kwa sababu ya hawa watu.

Asante sana mzee mwenzangu andybird314.

Update: Dakika ya 53, goli ni 0-2; hii inaweza kuwa ndivyo sivyo!

Hii game imebuma, wataalamu walisema under 2.5, mpaka dkk ya 64 goli ni 3 bila.
 
Ngoja nikipata muda nikaingize pesa kwenye ma account yangu..,,
 
Basket alfajiri:

Memphis vs Lakers: Under 197.5 odd 1.82

Milwaukee vs Oklahoma: Under 188.5 odd 1.85.

Ukizichanganya ni 3.37.

Weka mpunga wowote hapo.
 
uhakika nijilipue? Vp under nayo

game ya lakers sawa under coz katika game zao 5 zilizopita moja tu wamefikia hizo point.... ila milwaukee bana hatihati kuwa under..... h2h zao tano zilizopita mbili wamefikisha 186 na 184 ukicheki hapo ni mtupo mmoja wa 3 point wanafika.... game 2 wamevuka kabisaaa wamefika 208 na 218 ....ni game moja tu ndio walikuwa chini kabisa walipata 178.... sooo pima upepo wao wa karibuni....
 
Game hii ya "Al Salt v Sama Al Sarhan" iko halftime na matokeo ni 0-1. Ngoja tuone mambo yanaendaje, leo nina uhakika wa kupiga hela kwa sababu ya hawa watu.

Asante sana mzee mwenzangu andybird314.

Update: Dakika ya 53, goli ni 0-2; hii inaweza kuwa ndivyo sivyo!

Hii game imebuma, wataalamu walisema under 2.5, mpaka dkk ya 64 goli ni 3 bila.

Duuuh!!! hizo game nyingine kwenye hiyo mikeka vp?
 
game ya lakers sawa under coz katika game zao 5 zilizopita moja tu wamefikia hizo point.... ila milwaukee bana hatihati kuwa under..... h2h zao tano zilizopita mbili wamefikisha 186 na 184 ukicheki hapo ni mtupo mmoja wa 3 point wanafika.... game 2 wamevuka kabisaaa wamefika 208 na 218 ....ni game moja tu ndio walikuwa chini kabisa walipata 178.... sooo pima upepo wao wa karibuni....

Ni kweli kaka, ila H2H OKC walikuwa na KD na Westbrook ambao ni majeruhi kwa sasa, make hawa jamaa walikuwa wanacombine ya 50 to 60 points per game.

Umenipa changamoto hapo, kama vipi napima upepo kabla ya kulipuka.
 
forest green win
gateshead win
bristol city over 2.5
total odds 5.7 natia 10000
 
game ya lakers sawa under coz katika game zao 5 zilizopita moja tu wamefikia hizo point.... ila milwaukee bana hatihati kuwa under..... h2h zao tano zilizopita mbili wamefikisha 186 na 184 ukicheki hapo ni mtupo mmoja wa 3 point wanafika.... game 2 wamevuka kabisaaa wamefika 208 na 218 ....ni game moja tu ndio walikuwa chini kabisa walipata 178.... sooo pima upepo wao wa karibuni....

aisee nimesita, mpunga nimeuelekeza kwa bristol city na gatesheed
 
Wazee wenzangu nipeni updates za hiyo game ya Al shabab al arabi ya United Arab emirates cup..,,
 
  • 45pts @ 2.29/1 on Barnet v Torquay (OVER 2.5 GOALS) [COLOR=#009900 !important]England Conference[/COLOR] Premier 8.00 PM, Bury (TO WIN EITHER HALF) Johnstone's Paint Trophy 7.45 PM & Dundee Utd U20 v Motherwell U20 (OVER 2.5 GOALS) Scotland Premier U20 League 6.00 PM
  • 45pts @ 2.86/1 on Al Salt v Sama Al Sarhan (UNDER 2.5 GOALS) Jordan Division One 12.30 PM, Aleshkert II (WIN) Armenia First League11.00 AM & Al Shabab Al Arabi v Al Jazira SC (OVER 2.5 GOALS) UAE Cup 3.30 PM

Dundee imetick over 2.5
 
Back
Top Bottom